Je, CHADEMA wakiamdamana kwa Kikokotoo Uchwara, wafanyakazi mtaunga mkono?

Hii TUKINUKISHE ..na kibunda changu huko NSSF kingenisaidia hapa Ikola kuongeza mtaji wa kuvusha Balimi Congo Kalemiee...mijamaa imevimba nazo kama zao
Naipenda sana hii biashara.
 
Wafanyakazi wengine wataunga mkono isipokuwa wafanyakazi wafu, yaani walimu. CC Mpwayungu Village
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…