chiembe zinakutosha kweli?Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star Tv, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?
Tueleze agenda yao namba 1 mpaka namba 8 tuelewe.Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star Tv, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehem Huu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?
Huyu ni mental case, siyo swala la elimu, hata huo uandishi unaweza kuona ni mtu wa hovyo kiasi gani.Elimu, Elimu, Elimu
Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star Tv, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?
Misinformation, propaganda.Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star Tv, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?
Kwani Waliiweka Namba moja mbona Wameifunga hata MAHAKAMA YA MAFISADI? AJENDA YA CHADEMA NI KUWA NA KATIBA ITAKAYOPAMBANA YENYEWE NA MAFISADITundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star Tv, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?
wewe chiembe una miaka mingapi, sitaki jibu lako ila nimekutag usome hapo juuKwa nini unafarijika kuwa mwongo? Wewe hakika utakuwa umebeba roho ya shetani.
Nina uhakika hata ungepewa mwaka mzima ulete ushahidi kuwa Lisu aliwahi kusema hayo, hutaleta.
Kwa wasiofahamu, huyu mleta mada mwongo, ameamua kubadili majibu ya Lisu alipoulizwa kuhusiana na CHADEMA kumteua Lowasa (RIP) kuwa mgombea kupitia CHADEMA.
Lisu katika kufafanua alisema kuwa kabla ya kumteua Lowasa walii-contract kampuni ya nje kufanya tathmini juu ya mambo muhimu kadhaa. Baadhi yakiwa ni mambo ambayo wananchi wanayaona ni muhimu sana kwao. Utafiti huo ulionesha kuwa agenda ya ufisadi, katika umuhimu kwa wananchi, lilikuwa ya 9. Kwa hiyo siyo Lisu aliyesema kuwa ufisadi ni ajenda namba 9, bali ni wananchi. Na hiyo ni kwa kadiri ya utafiti wa hiyo kampuni.
Pia kwa watu wenye influence ilionekana Lowasa ndiye mwanasiasa pekee aliyekuwa maarufu kuliko wengine wote, licha ya CHADEMA kumweka kwenye orodha ya mafisadi. Na Lisu alikiri kuwa jina la Lowasa aliliingiza kwenye orodha hiyo ya mafisadi kutokana na taarifa ya Bunge ambapo Lowasa alitajwa kushindwa kuwasimamia watu wa chini yake waliotajwa kwenye sakata la Richmond, na taarifa hiyo ya Bunge haikusema kuwa Lowasa alihusika moja kwa moja. Uwajibikaji wake ulikuwa wa kisiasa. Taarifa ya kamati ya Bunge iliwataja waliohusika moja kwa moja na ambao kamati ilisema wagikishwe mahakamani, lakini Serikali haikufanya hivyo.
Chawa ameshiba sijui katokea wapi muda huuchiembe zinakutosha kweli?
Kwani wao wanaongoza nchi?Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?
Asante kwa ufafanuzi. Hayo mahojiano niliyasikiliza hata mimi. Huyo Chiembe anayapindisha kukidhi maslahi binafsiKwa nini unafarijika kuwa mwongo? Wewe hakika utakuwa umebeba roho ya shetani.
Nina uhakika hata ungepewa mwaka mzima ulete ushahidi kuwa Lisu aliwahi kusema hayo, hutaleta.
Kwa wasiofahamu, huyu mleta mada mwongo, ameamua kubadili majibu ya Lisu alipoulizwa kuhusiana na CHADEMA kumteua Lowasa (RIP) kuwa mgombea kupitia CHADEMA.
Lisu katika kufafanua alisema kuwa kabla ya kumteua Lowasa walii-contract kampuni ya nje kufanya tathmini juu ya mambo muhimu kadhaa. Baadhi yakiwa ni mambo ambayo wananchi wanayaona ni muhimu sana kwao. Utafiti huo ulionesha kuwa agenda ya ufisadi, katika umuhimu kwa wananchi, lilikuwa ya 9. Kwa hiyo siyo Lisu aliyesema kuwa ufisadi ni ajenda namba 9, bali ni wananchi. Na hiyo ni kwa kadiri ya utafiti wa hiyo kampuni.
Pia kwa watu wenye influence ilionekana Lowasa ndiye mwanasiasa pekee aliyekuwa maarufu kuliko wengine wote, licha ya CHADEMA kumweka kwenye orodha ya mafisadi.
Na Lisu alikiri kuwa jina la Lowasa aliliingiza kwenye orodha hiyo ya mafisadi kutokana na taarifa ya Bunge ambapo Lowasa alitajwa kushindwa kuwasimamia watu wa chini yake waliotajwa kwenye sakata la Richmond, na taarifa hiyo ya Bunge haikusema kuwa Lowasa alihusika moja kwa moja. Uwajibikaji wake ulikuwa wa kisiasa. Taarifa ya kamati ya Bunge iliwataja waliohusika moja kwa moja na ambao kamati ilisema wagikishwe mahakamani, lakini Serikali haikufanya hivyo.
kilaza ktk ubora wakoTundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?
Mbona CCM wanapewagwa wakati wao ndo wanafanya ufisadi?. In short, ufisadi siyo tatizo kwa watanzania vingivevyo wangeshajikomboa siku nyingi.Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko.
Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao yamekuwa sehemu ya ufisadi, kwa hiyo wanaogopa kuukata mkono unaowalisha?