Je, changamoto ya Tabora United ingeipata Simba sc au Yanga Sc Bodi ya ligi na TFF wangeacha mchezo uendelee?

Ivi utopolo mbona munapenda kulalamika sana? Yani upumbavu wafanye kitayose lakini lawana wanapewa TFF?

NDUGU MCHAA MBUZI TUNAOMBA UTUAMBIE AIBU INAYOPATA LIGI YETU KUTOKANA NA HUU UNDEZI WALIOFANYA KITAYOSE.
 
Kuna muda vikiwa vinajadiliwa vitu vya mana ushabiki Oya Oya uwe unaweka pembeni kidogo.
 
Ivi utopolo mbona munapenda kulalamika sana? Yani upumbavu wafanye kitayose lakini lawana wanapewa TFF?

NDUGU MCHAA MBUZI TUNAOMBA UTUAMBIE AIBU INAYOPATA LIGI YETU KUTOKANA NA HUU UNDEZI WALIOFANYA KITAYOSE.

Uongozi ni BUSARA pia mkuu

TFF ndio wanashughulikia na kujua status ya wachezaji wanaostahili kuwa wachezaji halali kucheza kwenye ligi yake

Sasa kama inaona kabisa hadi dakika za mwisho timu yake moja inayoisimamia ina wachezaji stahiki 8 tu kwanini isitumike busara ya kuahirisha mechi?

Hatukatai kama Kitayosa wamefanya uzembe lakini busara ingetumika kuficha hii aibu ukizingatia Kitayosa bado wageni pengine imechagia kufanya makosa hayo
 
Back
Top Bottom