Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Kuna muda vikiwa vinajadiliwa vitu vya mana ushabiki Oya Oya uwe unaweka pembeni kidogo.Ivi utopolo mbona munapenda kulalamika sana? Yani upumbavu wafanye kitayose lakini lawana wanapewa TFF?
NDUGU MCHAA MBUZI TUNAOMBA UTUAMBIE AIBU INAYOPATA LIGI YETU KUTOKANA NA HUU UNDEZI WALIOFANYA KITAYOSE.
Hiyo timu waliomba kuahirisha mechiKuna team wachezaji wake (16) walipata mafua mechi ikaahirishwa wakati walikua na wachezaji (25) ukitoa wale (16) wanabaki (9) (Hawakulazimisha kucheza) ..
... Leo wachezaji (8) wameweza kucheza mechi ila (9) haikuwezekana.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ivi utopolo mbona munapenda kulalamika sana? Yani upumbavu wafanye kitayose lakini lawana wanapewa TFF?
NDUGU MCHAA MBUZI TUNAOMBA UTUAMBIE AIBU INAYOPATA LIGI YETU KUTOKANA NA HUU UNDEZI WALIOFANYA KITAYOSE.