ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa kutakuwa kumesababishwa na hali ya uchumi kuimarika na watu kuwa na uwezo wa kununua sabuni na upatikanaji wa maji