Je, chawa wamepungua kwa sababu ya kuimarika kwa usafi?

Je, chawa wamepungua kwa sababu ya kuimarika kwa usafi?

Ni
Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.

Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..

Kupungua kwa chawa kutakuwa kumesababishwa na hali ya uchumi kuimarika na watu kuwa na uwezo wa kununua sabuni na upatikanaji wa maji
nimekuja mbio mbio nikajua ni wale chawa wa ccm.
 
Cha kushangaza sasa,
Nyumbu ndiyo wameanza kutoka hifadhini porini, na kuingia uraiani kwenye makazi na mashamba ya watu na kuvuruga amani na utulivu wa wananchi huku wakichochea vurugu na taharuki miongoni mwa jamii 🐒
Mhhh,
asilimia 10% ya kuigawia Zanzibar kila mwezi nani alipitisha.
 
Back
Top Bottom