ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano..
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa kutakuwa kumesababishwa na hali ya uchumi kuimarika na watu kuwa na uwezo wa kununua sabuni na upatikanaji wa maji.
Machawa walisha badili majina na mfumo wa kunyoonya damu, wengine wanajulikana kwa majina kama Lucas mwashamba, John nk.....kwahiyo bado wapo kwa mfumo mgine.Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano..
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa kutakuwa kumesababishwa na hali ya uchumi kuimarika na watu kuwa na uwezo wa kununua sabuni na upatikanaji wa maji.
Cha kushangaza sasa,Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa kutakuwa kumesababishwa na hali ya uchumi kuimarika na watu kuwa na uwezo wa kununua sabuni na upatikanaji wa maji
Ni weusi ukiwabonyeza wanatoka damuSijawahi kuwaona chawa tokea nizaliwe.
Binadamu wanabadirika na kuwa chawaChawa siku hizi wamebadilika nakua binadamu 🤔
Nina hamu ya kuwaona hawa wadudu kwa macho yangu naked eyes chawa akiwa mmoja wao. Yani natamani kumuona kunguni, nzi, kirobot, mbu na mende. Siyo kuwaona tu hata kung'atwa nao.Nazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa kutakuwa kumesababishwa na hali ya uchumi kuimarika na watu kuwa na uwezo wa kununua sabuni na upatikanaji wa maji
Hakika ndio maana chawa kama chawa wamepungua😁Binadamu wanabadirika na kuwa chawa
Hata Hawa watabadirika tukifanya usafi wa kutosha.Nimekuja mbio nikidhani kina Tulaatulaah, Lukasi na wenzao wamepata maono mapya ..!
Kumbe ukimaanisha chawa wadudu?
Hata Hawa watabadirika tukifanya usafi wa kutosha.
Utawaona tu mkuu, bado haujazaliwa zamani sana ,si juzi tu mkuu?😁😁😁😁Sijawahi kuwaona chawa tokea nizaliwe.
Chawa wa Zamani walikuwa ni wadudu, siku hizi wame undergo evolution, kama Ile ya masokwe, ndio hawa wanajiita Lucas Mwashambwa, ChawaWaMama, chawa wa mama, MamaSamia2025 na wengine wengi wenye akili za kizombi, yaani hawaamini kwamba wanaweza kujimudu bila kupididiwaNazungumzia mdudu chawa anayependa uchafu siku hizi wamepungua sana ni nadra kukuta mtu ana chawa kichwani hata mimi nauhakika sijamuona chawa kwenye nguo tangu takriban miaka mitano.
Labda kunguni kidogo mashuleni nasikia bado wapo wapo na viroboto wamebaki kwenye mifugo..
Kupungua kwa chawa kutakuwa kumesababishwa na hali ya uchumi kuimarika na watu kuwa na uwezo wa kununua sabuni na upatikanaji wa maji
Acha utan mkuu yaani kiroboto nzi na mbu na mende hujawahi kuwaona