Je, Chelsea tunaweza fanya makubwa mbele ya Barcelona?

Bluuz huwa tunapotezaga kwa madogo ila kwa watabe sijui baca, man, spurs huwa ni kupambana had ushnd
Hv unakumbuka spurs msimu uliopta walikuwa hatar ila tuliwazma hata msmu huu bado chamtoto.
Hv kuz ultegemea baca wafanyiwe mashambuliz makal vile
 
Camp nou kule mbeleko kibao,rejea mechi ya PSG.Hii Barca ni ya kawaida sana.Siyo team ya kutisha kama unavyoichukulia,Ikipangwa na team zinazojielewa hata 4 inapigwa kirahisi sana.
Chelsea msimu huu ni mbovu, kwani hata kule kwenye League matokeo yenu yapoje?
 
Mkuu namuona lewandowski kwenye avatar yako.jana amekuwa man of the match.
Moja kati ya strikers hatari sana!The best polish player so far
Huyu jamaa nampenda sababu hatumii nguvu nyingi kukufunga, yupo smart sana kwenye kuweka mpira wavuni, kwangu ndie striker mzuri zaidi kwa sasa.
 
Huyu jamaa nampenda sababu hatumii nguvu nyingi kukufunga, yupo smart sana kwenye kuweka mpira wavuni, kwangu ndie striker mzuri zaidi kwa sasa.
Mi ni striker wangu bora wa muda mrefu tu.napenda sana yuko very smart,red card kwake marufuku
 
Baada ya kumpa vidonge kama hivi mpatie na maji ameze maana umempa vidonge ameze bila maji.
 
Chelsea ilikuwa walinde goli pale uingereza wakachemka, kule Hispania kwa Barcelona ni Chelsea anaenda kufungishwa virago
 
Inabidi mashabiki wa Chelsea wafahamu haya

1. Chelsea itafute draw ya Goli mbili na kuendelea. Sina uhakika kama Chelsea yaweza zifumania nyavu za Barca mara mbili.

2. Chelsea awe wa kwanza kuweka rekodi ya kumfunga Barca Camp Nou tangu msimu huu uanze ili aende robo fainali UEFA.

3. Chelsea atapaswa muda mwingi asidefend kwani sare 1-1 mpaka sasa inamuonesha yeye ameshatoka.

4. Endapo Chelsea akatumia mbinu ya kumruhusu Barca ashambulie then achukue mpira na kushambulia kwa kasi kutoka golini kwake huenda akafeli, Messsi, Suarez, Jord Alba na Iniesta sio watu wazuri Camp Nou.
 

Washatoka hao,, hawana chao pale..kazi kutumia maguvu without akili πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Messi sio wa sayari hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…