rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Hapana hamuwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Conte hana tabia kama za Mourinho. As long as Bakayoko, Luiz na Cahil wapo nje, hatufungwi tatu kizembezembe.Mtakula 3 za chapp chapp,,, ninyi mkiscore kamoja tu si mnapaki bus!!!!!! 😀😀😀
Bluuz huwa tunapotezaga kwa madogo ila kwa watabe sijui baca, man, spurs huwa ni kupambana had ushndUCL is back again, na kama wewe ni mmoja wa mashabiki damu wa Chelsea, utakua unajua fixture iliyopo mbele yetu na jinsi timu ambavyo imekua na perfomance ya kuyumba kidogo hapo nyuma, Je kwa ushindi dhidi ya westbrom unaweza ongeza confidence na hamasa kuelekea game ya Barcelona? Na Conte haje na mbinu gani za kuwadhibiti wale jamaa[emoji838][emoji838][emoji838]
Inawezekana sana achana na wataliano wana mbinu sana
Waache waote tu. Wanamjua baba Mateo na kikosi chake wanamsikia???Ndo apo sasa..
namanisha conte c mu ItalyWataliano wametokea wapi tena!! Au ulita kusema Spain?
Chelsea msimu huu ni mbovu, kwani hata kule kwenye League matokeo yenu yapoje?Camp nou kule mbeleko kibao,rejea mechi ya PSG.Hii Barca ni ya kawaida sana.Siyo team ya kutisha kama unavyoichukulia,Ikipangwa na team zinazojielewa hata 4 inapigwa kirahisi sana.
Huyu jamaa nampenda sababu hatumii nguvu nyingi kukufunga, yupo smart sana kwenye kuweka mpira wavuni, kwangu ndie striker mzuri zaidi kwa sasa.Mkuu namuona lewandowski kwenye avatar yako.jana amekuwa man of the match.
Moja kati ya strikers hatari sana!The best polish player so far
Mi ni striker wangu bora wa muda mrefu tu.napenda sana yuko very smart,red card kwake marufukuHuyu jamaa nampenda sababu hatumii nguvu nyingi kukufunga, yupo smart sana kwenye kuweka mpira wavuni, kwangu ndie striker mzuri zaidi kwa sasa.
Baada ya kumpa vidonge kama hivi mpatie na maji ameze maana umempa vidonge ameze bila maji.Tim inayojielewa kama ipi??
Madrid tumempia mara kibao, Psg tumempiga 6 kama unakumbuka, Arsenal, man city, Man u wote hao tumepiga. Sasa tim gani inayojielewa!! Mbao fc? Yanga or simba?
Tatizo lenu mkiona messi kafunga hampendi, kufunga ni kawaida sana kwa messi. Asipofunga anatengeneza na kutoa assist.
Baada ya kumpa vidonge kama hivi mpatie na maji ameze maana umempa vidonge ameze bila maji.
Inabidi mashabiki wa Chelsea wafahamu haya
1. Chelsea itafute draw ya Goli mbili na kuendelea. Sina uhakika kama Chelsea yaweza zifumania nyavu za Barca mara mbili.
2. Chelsea awe wa kwanza kuweka rekodi ya kumfunga Barca Camp Nou tangu msimu huu uanze ili aende robo fainali UEFA.
3. Chelsea atapaswa muda mwingi asidefend kwani sare 1-1 mpaka sasa inamuonesha yeye ameshatoka.
4. Endapo Chelsea akatumia mbinu ya kumruhusu Barca ashambulie then achukue mpira na kushambulia kwa kasi kutoka golini kwake huenda akafeli, Messsi, Suarez, Jord Alba na Iniesta sio watu wazuri Camp Nou.
namanisha conte c mu Italy