Je,Chemtrails ni kitu gani?

Je,Chemtrails ni kitu gani?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Inasemekana Marekani hupuliza kemikali aina ya alluminum,Strontium na Barium hewani kwa kutumia military na civilian aircrafts, je lengo ni nini?
 
Sentesi ikianza na maneno inasemekana,eti, yawezekana basi jambo hilo linakua halina ushahidi...
Je ndivyo ilivyo au inasemekana...?
 
Hii Chemtrails pamoja na project blueprint ni moja kati ya vitu ambavo vinatumika kubadilisha dunia yetu na kua dunia janja(smart planet) kama wao wanavoiita, ambayo mifumo yote ya kibailojia itakua suppressed au kufa na mingine kua mutated(kubadilishwa kigenetics). Kuna sababu nyingi kwanini wanafanya hivi, moja ya sababu ni kuweza kudhibiti ufahamu wetu kibinadamu.. Ambapo watakua na uwezo wa kutengeneza taswira au mtazamo fulani katika akili yako. Pia hii teknolojia itakua na uwezo wa kucontrol emotional response zako na ata kuregulate mood yako..
 
This is very dangerous!
 
Mkuu kuna kitu inabidi uongezee hapa ili kukazia,Nakuwa interest na jinsi ulivyojibu naamini kuna zaidi unajua
 
Hii Chemtrails pamoja na project blueprint ni moja kati ya vitu ambavo vinatumika kubadilisha dunia yetu na kua dunia janja(smart planet) kama wao wanavoiita, ambayo mifumo yote ya kibailojia itakua suppressed au kufa na mingine kua mutated(kubadilishwa kigenetics). Kuna sababu nyingi kwanini wanafanya hivi, moja ya sababu ni kuweza kudhibiti ufahamu wetu kibinadamu.. Ambapo watakua na uwezo wa kutengeneza taswira au mtazamo fulani katika akili yako. Pia hii teknolojia itakua na uwezo wa kucontrol emotional response zako na ata kuregulate mood yako..
Wao wakiwa wapi??
 
Mbona hii umehadithia series ya kikorea ya SMART EARTH na Norma earth, Bluebird na sidhani kama n blueprint
 
Hii dunia ina siri nzito sana, huwezi kujua nani adui na yupi rafiki.
 
Hizo Chemical trails wanapuliziana huko huko kwao, sisi huku ni Contrails tu na AIDS inafanya kazi yake.
 
Back
Top Bottom