Racso G
Member
- Jun 19, 2017
- 57
- 29
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kua wako mahali fulani, ila uwezakano mkubwa unaonesha base kubwa hiko USA.Wao wakiwa wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kua wako mahali fulani, ila uwezakano mkubwa unaonesha base kubwa hiko USA.Wao wakiwa wapi??
Hii inaonesha wazi kua baadhi ya movie na series za Hollywood na nchi nyingine kubwa uunda story zao kutokana na vitu halisi vilivyotokea, vinavotokea na ambavo viko njiani kutokea ili kutengeneza movie au series flani.Mbona hii umehadithia series ya kikorea ya SMART EARTH na Norma earth, Bluebird na sidhani kama n blueprint
Tumuombe tu Mungu mkuu, hakuna namna.This is very dangerous!
Aisee..!Hii inaonesha wazi kua baadhi ya movie na series za Hollywood na nchi nyingine kubwa uunda story zao kutokana na vitu halisi vilivyotokea, vinavotokea na ambavo viko njiani kutokea ili kutengeneza movie au series flani.
Hio ya blueprint ni blueprint hivo hivo na sio bluebird