Je,Chemtrails ni kitu gani?

Je,Chemtrails ni kitu gani?

Mbona hii umehadithia series ya kikorea ya SMART EARTH na Norma earth, Bluebird na sidhani kama n blueprint
Hii inaonesha wazi kua baadhi ya movie na series za Hollywood na nchi nyingine kubwa uunda story zao kutokana na vitu halisi vilivyotokea, vinavotokea na ambavo viko njiani kutokea ili kutengeneza movie au series flani.
Hio ya blueprint ni blueprint hivo hivo na sio bluebird
 
Aisee..!
 
Back
Top Bottom