Je, China ina mkakati wa kutoa mikopo isiyolipika ili itaifishe rasilimali za wadeni wake!?

Je, China ina mkakati wa kutoa mikopo isiyolipika ili itaifishe rasilimali za wadeni wake!?

No free lunch!Lakini ukweli ni huu,ikiwa nchi za Kiafrika zitashindwa kuinvest kwenye Applied Science ambayo siku hizi inaitwa technology,hatutaenda popote!!!Lazima tu invest kwenye research na uvumbuzi,ni muhimu iyo ikawa sera,then Africa itaweza kusogea,wacha tuonekane primitive lakinu tuvumbue vyetu....!!!!
Lakini pia kwakuwa tumejaliwa ardhi nzuri ingefaa tuwekeze katika kilimo
 
Mbna hili Geza ulole alilizungumzia Mara nyingi tu kweny Kenyan news.nchi km srilanka +Kenya zinaonja joto Kali.sema our mighty president ni mtu,makini si wa kukurupuka.
 
"Wachina ni maLafiki wa kweri na ni ndugu zetu tangu zamani.., masharti yao ya mikopo ni mazuLi..." hiyo ni kauli ya Jiwe juzi kati wakati anazindua ujenzi wa chuo cha siasa na propaganda cha ccm huko kibaha, kinachojengwa na wachina..

Kuna siku tutatakiwa kuwa na viza na paspoti kuingia Dar
Masharti mazur km unayamudu.otherwise,watakuletea bigger aims za projects,AF znakua dangerous kwako.
 
View attachment 860818
Taasisi ya Kimataifa ya Fedha (IMF) imepata wasiwasi kuwa huenda China ina mkakati wa kutoa mikopo isiyolipika ili wataifishe rasilimali za wadeni wawanao wadai.
_______________________________________
Serikali ya Zambia ipo kwenye mazungumzo na China ili kuangalia uwezekano wa kuwapa Shirika la Umeme la nchi hiyo (ZEWASCO) hii ni baada ya kushindwa kulipa deni kubwa wanalodaiwa na Serikali hiyo.
_______________________________________
China imeonekana kuwa nchi rafiki kwa Mataifa ya bara la Afrika lakini inatabiriwa kuwa siku moja itayazika Mataifa hayo katika dimbwi la madeni makubwa.

Rasilimali za nchi zitakazoshindwa kulipa madeni zitataifishwa na uhuru wa kujiamulia mambo wa nchi utakuwa mashakani.

Millardayo.com
solution sio kuacha kukopa,shida ni izo hela zinatumikaje hadi miradi iliyodhaminiwa kuendelezwa inakuaje isirudishe mrejejesho? tatizo ni izo hela zinapigwa juu kwa juu
 
No free lunch!Lakini ukweli ni huu,ikiwa nchi za Kiafrika zitashindwa kuinvest kwenye Applied Science ambayo siku hizi inaitwa technology,hatutaenda popote!!!Lazima tu invest kwenye research na uvumbuzi,ni muhimu iyo ikawa sera,then Africa itaweza kusogea,wacha tuonekane primitive lakinu tuvumbue vyetu....!!!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] 'gospel' truth!
 
Back
Top Bottom