Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,718
- 1,481
Dhamana muhimu kuhakikisha kuwa mtalipa mkopo. Na ikishindikana mali yako yoyote nje ya nchi inaweza kamatwa.Hiv utaratibu ukoje?
Nilidhani ukikopa unaweka dhamana kitu, sasa hapa kwenye hii mikopo ya nchi na nchi kuna dhamana inawekwaga?
Lakini pia kwakuwa tumejaliwa ardhi nzuri ingefaa tuwekeze katika kilimoNo free lunch!Lakini ukweli ni huu,ikiwa nchi za Kiafrika zitashindwa kuinvest kwenye Applied Science ambayo siku hizi inaitwa technology,hatutaenda popote!!!Lazima tu invest kwenye research na uvumbuzi,ni muhimu iyo ikawa sera,then Africa itaweza kusogea,wacha tuonekane primitive lakinu tuvumbue vyetu....!!!!
Umesema ni lazima Mali iwe nje ya nchi eee??Dhamana muhimu kuhakikisha kuwa mtalipa mkopo. Na ikishindikana mali yako yoyote nje ya nchi inaweza kamatwa.
Sent from my WAS-LX2J using JamiiForums mobile app
Masharti mazur km unayamudu.otherwise,watakuletea bigger aims za projects,AF znakua dangerous kwako."Wachina ni maLafiki wa kweri na ni ndugu zetu tangu zamani.., masharti yao ya mikopo ni mazuLi..." hiyo ni kauli ya Jiwe juzi kati wakati anazindua ujenzi wa chuo cha siasa na propaganda cha ccm huko kibaha, kinachojengwa na wachina..
Kuna siku tutatakiwa kuwa na viza na paspoti kuingia Dar
Uzalilishe Mara ngapiopaji huu utakuja kudhalilisha Waafrika siku si nyingi.
solution sio kuacha kukopa,shida ni izo hela zinatumikaje hadi miradi iliyodhaminiwa kuendelezwa inakuaje isirudishe mrejejesho? tatizo ni izo hela zinapigwa juu kwa juuView attachment 860818
Taasisi ya Kimataifa ya Fedha (IMF) imepata wasiwasi kuwa huenda China ina mkakati wa kutoa mikopo isiyolipika ili wataifishe rasilimali za wadeni wawanao wadai.
_______________________________________
Serikali ya Zambia ipo kwenye mazungumzo na China ili kuangalia uwezekano wa kuwapa Shirika la Umeme la nchi hiyo (ZEWASCO) hii ni baada ya kushindwa kulipa deni kubwa wanalodaiwa na Serikali hiyo.
_______________________________________
China imeonekana kuwa nchi rafiki kwa Mataifa ya bara la Afrika lakini inatabiriwa kuwa siku moja itayazika Mataifa hayo katika dimbwi la madeni makubwa.
Rasilimali za nchi zitakazoshindwa kulipa madeni zitataifishwa na uhuru wa kujiamulia mambo wa nchi utakuwa mashakani.
Millardayo.com
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] 'gospel' truth!No free lunch!Lakini ukweli ni huu,ikiwa nchi za Kiafrika zitashindwa kuinvest kwenye Applied Science ambayo siku hizi inaitwa technology,hatutaenda popote!!!Lazima tu invest kwenye research na uvumbuzi,ni muhimu iyo ikawa sera,then Africa itaweza kusogea,wacha tuonekane primitive lakinu tuvumbue vyetu....!!!!
Hujaona udhalilishaji subiri mambo yaive.Uzalilishe Mara ngapi