Nani yahya
Member
- Nov 14, 2018
- 46
- 10
hii Kali mkuu ( tiyali ππππππ)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sindano lakini imekuingia???πππEti ipotiyali. [emoji15][emoji15][emoji15] Nikajua hatambui herufi 'r', baadaye kidogo akaongeza na..... acha brah brah. NGAI FAFA!!!![]()
kumbe china ina jeshi syriaMbona brah brah mingi. Kwa mfano mataifa makubwa kama US na Western counyries wameshindwa gumgoa Bashaar Al Assad wa Syria kutokana na Russia na China kupinga hicho kitendo. IS alipigwa na makomando 6 wa Russia hadi wakapoteana huko Syria.
China Jana. Mwenye majeshi ni Russia. Lakini China yuko na Russia kwenye swala la Syriakumbe china ina jeshi syria
Acha brah brah, leta video ya mchina akisema yupo tiyali. [emoji23]Sindano lakini imekuingia???
kivipi china anahusika?China Jana. Mwenye majeshi ni Russia. Lakini China yuko na Russia kwenye swala la Syria
Basi huku kutakua ni the staunchest eastern allySafi sana. Putin pia anafaa kutoa maoni yake kuusu hao wahuni kutoka nchi za EU!
Ujue kenya inaitwa the "staunchest western ally" in Eastern africa. Sasa wao wakenya ndio wanotumiwa na wazungu kuingilia mataifa mengine.