Je, China itaendelea kuhimili vizingiti vya kibiashara vya Marekani bila yuan kuporomoka? Au iko tayari 'kudhoofisha' sarafu yake kimkakati ili kuendelea kushindana? Vita vya kiuchumi si risasi, ni sarafu."
Ndio. Unafikiri taifa linalozalisha kila kitu, lenye masoko mengi duniani kuliko taifa lolote, litashindwaje kuhimli ushuru wa marekani?
Namba hazijawahi kudanganya