Je, chokochoko za Zanzibar mwanzo wa mwisho wa Muungano?

Je, chokochoko za Zanzibar mwanzo wa mwisho wa Muungano?

Damu huwa haikauki na haiachi kulilia kusudio lake Soon itakuwa kama China,Hongkong na Taiwan!
 
Tamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi

Je, bado tunauhitaji muungano?

Je, bado unafaa?

Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
kila kukikucha muungano this muungano that
hamchoki tuuuuuu
 
Uhalisia ni kwamba Zanzibar wanahitaji huu muungano zaidi kuliko wabara...wakikaa wenyewe wanasema hivyo
 
Hizi Chokochoko ni njia ya kuhakikisha kero za Muungano hazitatuliwi..Dhumuni la hizi Chokochoko ni kuhakikisha Wanatuaminisha kuwa Wazanzibari ni Maadui zetu,hawatupendi na wanatubagua,ndio hizo extreme most radical voices zinaletwa Kama za Wawakilishi kufanya Watanganyika na Wazanzibari tubaki tunarushiana maneno na kuaminisha kuwa Sisi ni Maadui..Lengo ni kuhakikisha Watanganyika na Wazanzibari kamwe hawawezi kuungana kudai Reforms za Muungano,zile kero za Muungano haziguswi Iła Sisi Wanatugawa na kutuaminisha kuwa ni Maadui na Wanafanikiwa kuzuia collective action kutoka Tanganyika na Zanzibar .Hapa ndio Uchawi wa CCM ulipo lala..Hii Mbinu inatumika kila siku na Watanzania hatujifunzi,
 
Back
Top Bottom