The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Hilo tamko kalitoa mkeo? Acheni uchochezi na uvunjifu wa amaniTamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi
Je, bado tunauhitaji muungano?
Je, bado unafaa?
Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
"Zenji wanajikuta akina nani awamu hii"
Zenji ni kama wachumba zetu..."Zenji wanajikuta akina nani awamu hii"
Mwisho wa kunukuu
kila kukikucha muungano this muungano thatTamko la kuwafurusha Wabara Zanzibar linaketa, kuchukiza, kuhuzunisha , na uchokozi
Je, bado tunauhitaji muungano?
Je, bado unafaa?
Kama unafaa, unamfaa na kutomfaa nani?
uzuri ipo tayari muda wote kushughulika na wavunjifu wa amani bila kujali itikadi zao za kisiasa.Hilo tamko kalitoa mkeo? Acheni uchochezi na uvunjifu wa amani
kwanini unakubali kunyonywa ?Huu si muungano bali ni unyonyaji.
Viongozi wetu ni wajinaga sana ndiyo maana tunanyonywa. Nyerere alikuwa kichwa maji haswa.kwanini unakubali kunyonywa ?
but your presentation doesnt reflect any sort of intelligence how dare you calling others names ?Viongozi wetu ni wajinaga sana ndiyo maana tunanyonywa. Nyerere alikuwa kichwa maji haswa.
Kama imekuuma vumilia tu, huna namna.but your presentation doesnt reflect any sort of intelligence how dare you calling others names ?