Je choo kilaini ni tatizo kiafya?

Je choo kilaini ni tatizo kiafya?

Nakushauri Kula mlo mgum unaeza kuwa Ugali wa kutosha na mboga za majani zisikose, sio unagusa na kuacha, then kula papai moja saiz ya kati, Kula baada ya mlo wa jioni,

Ukikosa papai, Chukua parachichi Ule, then subiri kama dk 15 anza kunywa maji ya kutosha Angalau isiwe chini ya lita moja, fanya hivyo mara kadhaa Utakuja kuleta mrejesho wa "Choo Kigumu"

NAWASILISHA
Mkuu, choo kigumu nacho ni kitu cha kukitafuta kwa juhudi namna hiyo?

Ili iweje?
 
Digestion was meant to be a smooth system, so is egestion!

Ukiona unatoa magumu jua something is wrong.
Aina ya vyakula ina influence kubwa juu ya hili.

Matunda na juice husaidia sana kulainisha!

Ok thanx
 
Inategemea na ulaini wake lakini kikubwa isiwe ni kuhara

Kikubwa ni kuwa comfortable wakati unajisaidia na icho ndio kipimo cha kwanza hivyo kama unakuwa hauko comfortable itabidi umuone daktari la sivyo basi ni suala la kawaida ambalo linachangiwa na lifestyle tu

Ok
 
Nakushauri Kula mlo mgum unaeza kuwa Ugali wa kutosha na mboga za majani zisikose, sio unagusa na kuacha, then kula papai moja saiz ya kati, Kula baada ya mlo wa jioni,

Ukikosa papai, Chukua parachichi Ule, then subiri kama dk 15 anza kunywa maji ya kutosha Angalau isiwe chini ya lita moja, fanya hivyo mara kadhaa Utakuja kuleta mrejesho wa "Choo Kigumu"

NAWASILISHA

Sawa mkuu
 
Mkuu, choo kigumu nacho ni kitu cha kukitafuta kwa juhudi namna hiyo?

Ili iweje?

Mh ndo hapo ninaposhangaa, utakuta unakula vyakula sawa na wengine lakini choo kinakua kilaini tofauti na wenzako
 
Back
Top Bottom