Mkuu, choo kigumu nacho ni kitu cha kukitafuta kwa juhudi namna hiyo?Nakushauri Kula mlo mgum unaeza kuwa Ugali wa kutosha na mboga za majani zisikose, sio unagusa na kuacha, then kula papai moja saiz ya kati, Kula baada ya mlo wa jioni,
Ukikosa papai, Chukua parachichi Ule, then subiri kama dk 15 anza kunywa maji ya kutosha Angalau isiwe chini ya lita moja, fanya hivyo mara kadhaa Utakuja kuleta mrejesho wa "Choo Kigumu"
NAWASILISHA
Inategemea na ulaini wake lakini kikubwa isiwe ni kuhara
Kikubwa ni kuwa comfortable wakati unajisaidia na icho ndio kipimo cha kwanza hivyo kama unakuwa hauko comfortable itabidi umuone daktari la sivyo basi ni suala la kawaida ambalo linachangiwa na lifestyle tu
Nakushauri Kula mlo mgum unaeza kuwa Ugali wa kutosha na mboga za majani zisikose, sio unagusa na kuacha, then kula papai moja saiz ya kati, Kula baada ya mlo wa jioni,
Ukikosa papai, Chukua parachichi Ule, then subiri kama dk 15 anza kunywa maji ya kutosha Angalau isiwe chini ya lita moja, fanya hivyo mara kadhaa Utakuja kuleta mrejesho wa "Choo Kigumu"
NAWASILISHA