Je chuo cha State University Of Zanzibar (SUZA) ni kwaajili ya wa kazi wa zanzibar pekee.??

Je chuo cha State University Of Zanzibar (SUZA) ni kwaajili ya wa kazi wa zanzibar pekee.??

alex001

Member
Joined
Nov 23, 2022
Posts
20
Reaction score
10
Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
 
Ni chuo cha mtu yeyote anayehitaji kusoma hata kama ni mrundi, mrwanda ama mkongo
 
Back
Top Bottom