alex001 Member Joined Nov 23, 2022 Posts 20 Reaction score 10 Feb 26, 2023 #1 Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
Awakener The Lone Wolf JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 230 Reaction score 198 Feb 26, 2023 #2 Kwani kuna chuo cha watu wa bara pekee huku bara
F Future eyes Senior Member Joined May 30, 2022 Posts 128 Reaction score 71 Mar 7, 2023 #3 Ni chuo cha mtu yeyote anayehitaji kusoma hata kama ni mrundi, mrwanda ama mkongo