Je, chuo ulichosoma kimeshika nafasi ya ngapi Afrika?

Hiyo orodha haitakusaidia mtaani hata kidogo,soma dogo hata ukisoma havard kama kilaza kilaza tu.
 
Hiyo orodha haitakusaidia mtaani hata kidogo,soma dogo hata ukisoma havard kama kilaza kilaza tu.
Sasa kama kilaza utasomaje Havard? Btw sentence ya kwanza ni sawa kabisa,hizo ni positions zu(numbers) they have nothin to do with outcomes za mtu baada ya kumaliza au akiwa chuoni.
 
Kuna mambo mengine ni ya kijinga kabisa wewe chuo kushika namba moja au mbili inakusaidia nini?badala ya kuwaza utakabiriana vp na soko la ajira wewe unawaza eti chuo changu bora kushinda kingine bado mnasoma hamjui kitaa kukoje endeleeni kudanganyana mtakuja kuona mwisho wake kula ugali na wadogo zako na kulisha mbwa
 
simple mind,chuo ni wewe mwenyewe,na elimu ukiyopata imejusaidiaje,,.kwa kuwa tunaingia kujadili utoto ,hebu ona sasa,eti kairuki ipo MUHAS haipo.
 
Hata katika kundi la wabovu kuna wa kwanza mwenye nafuu so wewe ni mwanzi unajisifu kwa kuushinda m'bua nguvu vp kikiletwa chuma utasema nini?
 
Mbona cha kwangu sikioni kinaitwa "Street University''?
 
unajua hurbet kairuki mwaka rank kabla ya hii ilikua ya ngapi?? na hii imekua ya ngapi??? sasa big up ya nini??

sijajua ilikuwa ya ngapi..
Binafsi kwa wao kukizidi taasisi kongwe kama muhimbili wanastahili pongezi. Ukizingatia ni private instution kutoka nchi maskini.. Moreover mm cjasoma hapo
 
swali ungeuliza chuo ulichosoma ni cha ngapi duniani na ukaorodhesha the best uni in world, anyway hiyo ni best in web ranking mkuu sio ubora wa elimu inayotolewa ungetuletea na maelezo ya ziada vigezo walivyoviweka ndio ungejua in details,
 
Usiilinganishe udom ya miaka mitano na vyuo vyenye karne na karne ila few years to come udom will be the first mtanambie make sio cha kawaida
 
sasa maji2 had leo wanaendelea kubishania Rank za vyuo, wa2 wamemaliza vyuo ambavyo haata havipo hapo kwenye list na hvyo hvyo mnavyovidharau still tunawaona wana kazi nzuri na maisha yanaenda, sielewi inakuaje hapo...watu wote wanajing'ang'aniza kuingia UD hata kwa course ambazo hazikuwa kwenye future zao simple kwa sababu ya tittle...think deep maisha sio rank ya chuo brother utaumia, huko uliko kaza utoke na GPA ya maana upate kazi nzuri, thats all we need.....
 
Ukiangalia kigezo cha idadi ya vyuo katika nchi husika list ya kumi bora iko hivi:
1. South Africa kuna vyuo 14
2. Egypt kuna vyuo 10
3. Kenya 7
4. Algeria 7
5. Morocco 7
6 Nigeria 6
7. Tunisia 4
8. Ghana 2
9. Sudan 2
10. the rest 1 each

tanzania viko viwili bhana kairuki na udsm
 
kweli nimeamini kuna vilaza wengi waliosoma UDSM maana hata huhitaji notes za prof kuzisoma kujua maana ya web ranking. ivi ukiambiwa chuo bora mfano kikawa kweli UDSM ww individual inakusaidia nn? maana kubishana na wanafunzi wa mwaka wa kwanza ni kazi sana. yaan huku mtaani hakuna kinachotumika rather than your GPA. So work hard acheni.
 
simple mind,chuo ni wewe mwenyewe,na elimu ukiyopata imejusaidiaje,,.kwa kuwa tunaingia kujadili utoto ,hebu ona sasa,eti kairuki ipo MUHAS haipo.

watakuwa wanatumia vigezo hafifu sana, hasa baada ya kutoiona SUA!
 
Big up to UDSM, Tanzania vipo viwili, Kenya saba, Uganda kimoja, Rwanda Kimoja, Burundi hamna kitu....japo UDSM ina nafasi ya sita baada ya vyuo vya Africa Kusisini...Kenya bado wako juu kwa wingi wa vyuo

Ulichokiandika kilikuwa kinatosha sana hakuna sababu ya ku- quote hapo juu kwani ni ndefu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…