ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
unajua hurbet kairuki mwaka rank kabla ya hii ilikua ya ngapi?? na hii imekua ya ngapi??? sasa big up ya nini??Big up to hubert kairuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua hurbet kairuki mwaka rank kabla ya hii ilikua ya ngapi?? na hii imekua ya ngapi??? sasa big up ya nini??Big up to hubert kairuki
Sasa kama kilaza utasomaje Havard? Btw sentence ya kwanza ni sawa kabisa,hizo ni positions zu(numbers) they have nothin to do with outcomes za mtu baada ya kumaliza au akiwa chuoni.Hiyo orodha haitakusaidia mtaani hata kidogo,soma dogo hata ukisoma havard kama kilaza kilaza tu.
Nafasi ya ngapi ya nini?
unajua hurbet kairuki mwaka rank kabla ya hii ilikua ya ngapi?? na hii imekua ya ngapi??? sasa big up ya nini??
Ukiangalia kigezo cha idadi ya vyuo katika nchi husika list ya kumi bora iko hivi:
1. South Africa kuna vyuo 14
2. Egypt kuna vyuo 10
3. Kenya 7
4. Algeria 7
5. Morocco 7
6 Nigeria 6
7. Tunisia 4
8. Ghana 2
9. Sudan 2
10. the rest 1 each
simple mind,chuo ni wewe mwenyewe,na elimu ukiyopata imejusaidiaje,,.kwa kuwa tunaingia kujadili utoto ,hebu ona sasa,eti kairuki ipo MUHAS haipo.
Big up to UDSM, Tanzania vipo viwili, Kenya saba, Uganda kimoja, Rwanda Kimoja, Burundi hamna kitu....japo UDSM ina nafasi ya sita baada ya vyuo vya Africa Kusisini...Kenya bado wako juu kwa wingi wa vyuo