Je, Clatous Chama kuelekea Far Rabat kwa kishingo?

Labda Azam
 
Kishingo (Sven) amepata kazi Belouzdad siyo huko unakosema. Alishatoka ASFA akaenda Asia na kurudi Wydad ambako mkataba wake umetamatika. Wachezaji wa Simba waliosafiri na timu ni 17 tu. Wengine wataondoka kesho au keshokutwa wakiwemo Baleke, Che Malon, Chama, Onana, Kipa (Caique), Ngoma na wengine
 
Soma hiyo hapo
 
Aende tu hatuna deni naye
 
Ni suala la muda tu
 

Attachments

  • 20230713_123448.png
    257.4 KB · Views: 2
Moja kati ya kitu cha maana ambacho Simba Sc inatakiwa kufanya, ni kumuacha Chama na kumpa kisogo kabisa. Sifurahii kuona akitukuzwa kupita kiasi hapo Simba Sc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…