Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habari,mwenzenu mimi hutumia mpira mara kwa mara kwasababu situmii njia zingine za uzazi wa mpango.sasa kama wiki mbili zilizopita nilipata uti,wakati nimeitibu,tulikutana na mume wangu kimwili na alitumia condom,lakn cha kushangaza kesho yake nilianza kuwashwa sana na kukawa kumevimba.je nini kimesababisha?condom tulitumia salama stud,lakin ktk paket moja wako hazikwa stud japo nje waliandika ni aina ya stud