Yapo,mojawapo ni mzio(allergy)mwenyewe ninayo katika baadhi ya condoms.Wasalaam,
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza maswali mengi kuhusiana na ''condom'' za kiume hasa yale mafuta yake. Kwa ufahamu wangu mdogo ikulu ya kina mama/ dada huwa na Ph yake, na yale mafuta ya kwenye 'condom' huwa na ' alkalinity' hivyo wakati wa tendo hutokea mvurugiko wa Ph kwenye ikulu.
Je, matumizi ya condom kwenye lile tendo takatifu/tukufu halisababishi magonjwa kwenye ikulu za kina mama/dada kama ''vaginatis'' ?
Ilikua masaa kadhaa after kuitumia maumbile yanawasha na kututumka vibaya!mwanzo nilihisi fungus,baada ya kulifuatilia kwa kina ndipo nkajagundua nina allergy nkafuatilia zaidi ndipo nkajua zipi hasa zisizonifaa.Yap, Uligunduaje ?
Ilikua masaa kadhaa after kuitumia maumbile yanawasha na kututumka vibaya!mwanzo nilihisi fungus,baada ya kulifuatilia kwa kina ndipo nkajagundua nina allergy nkafuatilia zaidi ndipo nkajua zipi hasa zisizonifaa.
Salama ni mojawapo ya ambazo hazinifai,bareback ndo nazotumia kwa sasa na hazijaniletea tatizo lolote.ukagundua zipi hazifai? any brand names?
ukagundua zipi hazifai? any brand names?
Salama ni mojawapo ya ambazo hazinifai,bareback ndo nazotumia kwa sasa na hazijaniletea tatizo lolote.
Zote nimewahi kuzitumia katika mazingira ya halijoto ya aina moja,kama ni case ya kuwa mishandled nadhani hata hizo bareback nazo mwili ungereactBareback and salama both are latex condoms. Inawezekana ni mentallity tu, lakini kuna iwezekano kuwa salama ulizokutana nazo zimekuwa mishandled (condoms hazipaswi kukutana na direct sunlight na joto)
All in all ni muhimu kwa kinga na ni busara kutafuta ile ambayo unakuwa comfortable nayo kutumia.
Ndio,nayo pia mwili unareact,hainifai pia.Rough Rider umejaribu?
Ndio,nayo pia mwili unareact,hainifai pia.
Unacheka?huoni kua niko katika hatari sana?da...bas naona upo delicate sana! glass... ha ha ha ha...
Unacheka?huoni kua niko katika hatari sana?
Ulisahau kuweka neno pole kabla ya kicheko au baada ya kicheko?samahani nilisahau kuweka neno pole. please forgive!
Ulisahau kuweka neno pole kabla ya kicheko au baada ya kicheko?
Zote nimewahi kuzitumia katika mazingira ya halijoto ya aina moja,kama ni case ya kuwa mishandled nadhani hata hizo bareback nazo mwili ungereact