Chemiker
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 506
- 108
Wasalaam,
Nimekuwa nikijaribu kujiuliza maswali mengi kuhusiana na ''condom'' za kiume hasa yale mafuta yake. Kwa ufahamu wangu mdogo ikulu ya kina mama/ dada huwa na Ph yake, na yale mafuta ya kwenye 'condom' huwa na ' alkalinity' hivyo wakati wa tendo hutokea mvurugiko wa Ph kwenye ikulu.
Je, matumizi ya condom kwenye lile tendo takatifu/tukufu halisababishi magonjwa kwenye ikulu za kina mama/dada kama ''vaginatis'' ?