kunta93
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 754
- 1,512
👉 Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na Kigogo, Maria Sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo wake juu ya janga hili
👉 Viongozi mbalimbali wameondoka katika kipindi cha hivi karibuni huku wakihusishwa na janga hili kua ndo chanzo cha vifo vyao ila kwasasa hatujaskia msiba wa kiongozi yoyote. (Siombei viongozi wetu waondoke ila nashangaa tu)
👉 Hakuna tena kelele za nyungu why?
👉 Mchambuzi wa maswala ya kiintelijensia na siasa huko nchini Uganda anaeitwa Tamaale Mirundi anasema kuna Corona za aina Mbili siku hizi.
👉 Kuna corona hii ya covid 19 ilioanzia China na kutapakaa dunia nzima.
👉 Na kuna corona inayoitwa "giza linamuwindisha chui" na anasema hii corona ya pili inapiga sana africa imeshapiga hata Burundi mwaka jana.
👉 Tusubiri tume ya mama itakuja na muelekeo gani.