#COVID19 Je, Corona phase II imeisha Tanzania?

#COVID19 Je, Corona phase II imeisha Tanzania?

... waulize Hospitali ya Rufaa Muhimbili ule mtambo wao wa nyungu baada ya 17.03 wamepata wateja wangapi? Ukipata jibu tushtue.
 
magufuli amesema ameyatoa maisha yake sadaka Kwa ajili yetu
... ni mmoja tu aliyeyatoa maisha yake kwa ajili yetu (wanadamu); huyo sio mwingine ila Yesu Kristo wa Nazareth na ndiye peke yake damu yake iokoayo. Mwingine yeyote akikuambia anayatoa maisha yake kwa ajili yako ni tapeli huyo! Maisha sijui damu yake ina nguvu gani ya kuzishinda nguvu na hila za Shetani? Ina utakatifu gani? Utapeli wa kutupwa! Maisha na damu isiyo na mawaa ni ya Yesu - alpha na omega!
 
👉Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na kigogo,maria sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo wake juu ya janga hili

👉Viongozi mbalimbali wameondoka katika kipindi cha hivi karibuni huku wakihusishwa na janga hili kua ndo chanzo cha vifo vyao ila kwasasa hatujaskia msiba wa kiongozi yoyote. (Siombei viongozi wetu waondoke ila nashangaa tu)

👉Hakuna tena kelele za nyungu why?

👉Mchambuzi wa maswala ya kiintelijensia na siasa huko nchini Uganda anaeitwa Tamaale Mirundi anasema kuna Corona za aina Mbili siku hizi.

👉Kuna corona hii ya covid 19 ilioanzia China na kutapakaa dunia nzima.

👉Na kuna corona inayoitwa "giza linamuwindisha chui" na anasema hii corona ya pili inapiga sana africa imeshapiga hata Burundi mwaka jana.

👉Tusubiri tume ya mama itakuja na muelekeo gani.
Vipi kwani UKIMWI umeisha? Maana hatusikii watu wakidedi kwa ukimwi
 
Itakuwa walikubaliana na mungu.ili sisi tupone INATAKIWA yeye afe

Back
Top Bottom