Corona imepungua sana au tuseme inaishia ila hatua zisipochukuliwa mwakani wave 3 inakuja tena. Hapa suala ambalo halikwepeki ni chanjo na ndio maana ya yale maneno ya Mama Samia kuwa ataunda wataalamu hii ni njia ya kuonesha hatumkani marehemu ila hatuwezi kuwa kisiwa majibu yanajulikana chanjo ni lazima na zitaletwa nchini na watu watachoma vinginevyo matokeo tutatengwa vibaya sana. sababu kuu ni kwamba corona haitaisha kila mwaka itakuja ila chanjo itafanya corona kuwa kama mafua ya kawaida tu sio issue tena. kwa waislamu itakuwa shida zaidi maana kwenda kuhiji au umra kama hujapata chanjo hakuna nafasi na hili litapelekea watu kupata chanjo.
Corona imepungua sana au tuseme inaishia ila hatua zisipochukuliwa mwakani wave 3 inakuja tena. Hapa suala ambalo halikwepeki ni chanjo na ndio maana ya yale maneno ya Mama Samia kuwa ataunda wataalamu hii ni njia ya kuonesha hatumkani marehemu ila hatuwezi kuwa kisiwa majibu yanajulikana chanjo ni lazima na zitaletwa nchini na watu watachoma vinginevyo matokeo tutatengwa vibaya sana. sababu kuu ni kwamba corona haitaisha kila mwaka itakuja ila chanjo itafanya corona kuwa kama mafua ya kawaida tu sio issue tena. kwa waislamu itakuwa shida zaidi maana kwenda kuhiji au umra kama hujapata chanjo hakuna nafasi na hili litapelekea watu kupata chanjo.
Huu ugonjwa huwa ni kama upepo fulani hivi. Sasa hivi zile ambulances zilizokua busy mitaani hakuna,misiba mitaani na ya watu maarufu imepungua sana hata hofu nayo imeshuka tofauti na hali ilivyokua mwezi March.Corona imepungua sana au tuseme inaishia ila hatua zisipochukuliwa mwakani wave 3 inakuja tena. Hapa suala ambalo halikwepeki ni chanjo na ndio maana ya yale maneno ya Mama Samia kuwa ataunda wataalamu hii ni njia ya kuonesha hatumkani marehemu ila hatuwezi kuwa kisiwa majibu yanajulikana chanjo ni lazima na zitaletwa nchini na watu watachoma vinginevyo matokeo tutatengwa vibaya sana. sababu kuu ni kwamba corona haitaisha kila mwaka itakuja ila chanjo itafanya corona kuwa kama mafua ya kawaida tu sio issue tena. kwa waislamu itakuwa shida zaidi maana kwenda kuhiji au umra kama hujapata chanjo hakuna nafasi na hili litapelekea watu kupata chanjo.
Unajuwa sisi mazingira ya maisha yetu ya kila siku yanasaidia miili yetu kukabiliana na huu ugonjwa na ndio maana wengi uliowachukuwa vibaya ni watu wazima au wale watu wasiojichanganya sana katika jamii lakini huwezi kusikia sokoni kuna mtu kaondoka na corona sababu mazingira yenyewe ya masokoni kama corona na Tanzania vijana wengi.Huu ugonjwa huwa ni kama upepo fulani hivi. Sasa hivi zile ambulances zilizokua busy mitaani hakuna,misiba mitaani na ya watu maarufu imepungua sana hata hofu nayo imeshuka tofauti na hali ilivyokua mwezi March.
Kwa Tz Mungu tu bado anatulinda wala sioni anaechukuaga tahadhari hapa tunakwenda tu kama mbuzi.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Space X ikikamilika tunakua tunaenda mars mwezi wa 11 tunarudi may mosi, Christmas inatukuta mars tunashehelekea na aliensCorona ni ugonjwa wa msimu unaanza mwezi wa kumi na moja na unaisha mwezi wa nne, na hii itakuwa hivi kila mwaka na tutaishi na huu ugonjwa miaka yote kama yalivyo mafua.
Itachukuwa miaka mpaka wamuelewe sababu wengi wetu ni vichwa Maji bendera fuata upepomagufuli amesema ameyatoa maisha yake sadaka Kwa ajili yetu
Imepunzika baada ya kufanya kazi nzuri sana tarehe kumi na saba mwezi machi mwaka huuu !!! Hakuna ashukuriwe aliye juuu[emoji117]Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na kigogo,maria sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo wake juu ya janga hili
[emoji117]Viongozi mbalimbali wameondoka katika kipindi cha hivi karibuni huku wakihusishwa na janga hili kua ndo chanzo cha vifo vyao ila kwasasa hatujaskia msiba wa kiongozi yoyote. (Siombei viongozi wetu waondoke ila nashangaa tu)
[emoji117]Hakuna tena kelele za nyungu why?
[emoji117]Mchambuzi wa maswala ya kiintelijensia na siasa huko nchini Uganda anaeitwa Tamaale Mirundi anasema kuna Corona za aina Mbili siku hizi.
[emoji117]Kuna corona hii ya covid 19 ilioanzia China na kutapakaa dunia nzima.
[emoji117]Na kuna corona inayoitwa "giza linamuwindisha chui" na anasema hii corona ya pili inapiga sana africa imeshapiga hata Burundi mwaka jana.
[emoji117]Tusubiri tume ya mama itakuja na muelekeo gani.