Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi labda mpaka hiyo damu ikutane na michubuko sio ivi iviNdio
OfcourseNahisi labda mpaka hiyo damu ikutane na michubuko sio ivi ivi
Yaani niliimanisha kwangu mm mwanamke labda nikifanya sex na mwanaume Mara gafra nikajikuta nimebleed je huyo mwanaume kama ana maambukizi kupitia hiyo damu yangu naweza kupata maambukizi??Nahisi labda mpaka hiyo damu ikutane na michubuko sio ivi ivi
Ndio bila shakaSijaelewa hapo mkuu niliimanisha damu yangu mm kama mwanamke inaweza sababisha kupata virusi endapo mwanaume ana HIV ?
[emoji120] [emoji120] karibuAsante kwa taarifa mkuu
very wrongNi vigumu sana mwanaume mwenye ukimwi,kumuambukiza mwanamke iwapo huyo mwanaume kavaa condom,ni next to impossible.
Lakini pia sio vigumu kwa mwanamke mwenye ukimwi kumwambukiza mwanaume hata kama mwanaume kavaa condom,
So kwa maelezo yako hayo, kati ya mwanamke na mwanaume nani alie katika risk ya kupata ukimwi kama akisex na mwenza mwenye HIV+Ni vigumu sana mwanaume mwenye ukimwi,kumuambukiza mwanamke iwapo huyo mwanaume kavaa condom,ni next to impossible.
Lakini pia sio vigumu kwa mwanamke mwenye ukimwi kumwambukiza mwanaume hata kama mwanaume kavaa condom,
mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee@Proscaeur
mwanaume ndo anakuwa na risk.
Ngoja nikufafanulie,unapoivaa condom si inafunika mpaka kwenye shina la uume,
unapaanza sex hadi kumaliza manii yanabaki kwa tip,hakuna njia hayo manii yatafloat na kuja kwenye shina la uume na kutoka kucontact na uke,
utachomoa na kuvua condom hayo manii yatabaki kule kwenye tip ya condom,mpaka hapo hakuna contact ya uke na kichwa cha uume ambacho ndo kinakuwa rahisi kuchubuka kwa msuguano,
lakini wewe mwanaume uko katika risk kwani kama mwanamke ni mwathirika ule uvuaji tu wa condom ukikosea inakula kwako,sababu uke ndo unauvaa uume,kwahiyo vaginal fluid inakua in contact na kuta za nje za condom,so unashika condom kuivua,lazima vidole vitacontact na maji maji ya uke hasa kama ke ana maji mengi kuna maji maji hayo yatacontact na pubic area ya me,
sasa unapovua condom vidole vyako vitakuwa tainted na vaginal fluid,then utashika tena uume wako na pengine kichwa cha uume wakati unava condom ya pili,automatical vidole vyako ambavyo viko tainted na vaginal fluid vitacontact directly na uume wako na hivyo uume unakuwa tainted na vaginal fluid,
kama ke ni mwathirika na una michubuko uumeni ...........