Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Ni kwelimbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwelimbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
Only via mchubukoNi kweli
DAMU UTOE WEWE MAAMBUKIZI UPATE WEWE? SIO KWELI LABDA YEYEYaani niliimanisha kwangu mm mwanamke labda nikifanya sex na mwanaume Mara gafra nikajikuta nimebleed je huyo mwanaume kama ana maambukizi kupitia hiyo damu yangu naweza kupata maambukizi??
Ahsante kwa ufafanuzi@Proscaeur
mwanaume ndo anakuwa na risk.
Ngoja nikufafanulie,unapoivaa condom si inafunika mpaka kwenye shina la uume,
unapaanza sex hadi kumaliza manii yanabaki kwa tip,hakuna njia hayo manii yatafloat na kuja kwenye shina la uume na kutoka kucontact na uke,
utachomoa na kuvua condom hayo manii yatabaki kule kwenye tip ya condom,mpaka hapo hakuna contact ya uke na kichwa cha uume ambacho ndo kinakuwa rahisi kuchubuka kwa msuguano,
lakini wewe mwanaume uko katika risk kwani kama mwanamke ni mwathirika ule uvuaji tu wa condom ukikosea inakula kwako,sababu uke ndo unauvaa uume,kwahiyo vaginal fluid inakua in contact na kuta za nje za condom,so unashika condom kuivua,lazima vidole vitacontact na maji maji ya uke hasa kama ke ana maji mengi kuna maji maji hayo yatacontact na pubic area ya me,
sasa unapovua condom vidole vyako vitakuwa tainted na vaginal fluid,then utashika tena uume wako na pengine kichwa cha uume wakati unava condom ya pili,automatical vidole vyako ambavyo viko tainted na vaginal fluid vitacontact directly na uume wako na hivyo uume unakuwa tainted na vaginal fluid,
kama ke ni mwathirika na una michubuko uumeni ...........
ndo maana ya kusema huu ugonjwa haueleweki,ama watu walifichwa ukweli kuhusu ukimwi,mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
Kwani hiyo damu huwa inatoka wap?Nahisi labda mpaka hiyo damu ikutane na michubuko sio ivi ivi
Dadavua mkuuNi vigumu sana mwanaume mwenye ukimwi,kumuambukiza mwanamke iwapo huyo mwanaume kavaa condom,ni next to impossible.
Lakini pia sio vigumu kwa mwanamke mwenye ukimwi kumwambukiza mwanaume hata kama mwanaume kavaa condom,
Na aelewe pia kuna familia unakuta mmoja ni muathirika na mwingine ni mzima ilihali mnashirikiana tendo dailymbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
ni [emoji139]So kwa maelezo yako hayo, kati ya mwanamke na mwanaume nani alie katika risk ya kupata ukimwi kama akisex na mwenza mwenye HIV+
kanuni ni: unapomaliza ku do, mwanamke anatakiwa akuvue mpira!@Proscaeur
mwanaume ndo anakuwa na risk.
Ngoja nikufafanulie,unapoivaa condom si inafunika mpaka kwenye shina la uume,
unapaanza sex hadi kumaliza manii yanabaki kwa tip,hakuna njia hayo manii yatafloat na kuja kwenye shina la uume na kutoka kucontact na uke,
utachomoa na kuvua condom hayo manii yatabaki kule kwenye tip ya condom,mpaka hapo hakuna contact ya uke na kichwa cha uume ambacho ndo kinakuwa rahisi kuchubuka kwa msuguano,
lakini wewe mwanaume uko katika risk kwani kama mwanamke ni mwathirika ule uvuaji tu wa condom ukikosea inakula kwako,sababu uke ndo unauvaa uume,kwahiyo vaginal fluid inakua in contact na kuta za nje za condom,so unashika condom kuivua,lazima vidole vitacontact na maji maji ya uke hasa kama ke ana maji mengi kuna maji maji hayo yatacontact na pubic area ya me,
sasa unapovua condom vidole vyako vitakuwa tainted na vaginal fluid,then utashika tena uume wako na pengine kichwa cha uume wakati unava condom ya pili,automatical vidole vyako ambavyo viko tainted na vaginal fluid vitacontact directly na uume wako na hivyo uume unakuwa tainted na vaginal fluid,
kama ke ni mwathirika na una michubuko uumeni ...........
Kuambukizwa vurusi vya ukimwi ni long process otherwise asingekuwepo binadamu hadi sasa tungejifuta wenyewe.Yaani niliimanisha kwangu mm mwanamke labda nikifanya sex na mwanaume Mara gafra nikajikuta nimebleed je huyo mwanaume kama ana maambukizi kupitia hiyo damu yangu naweza kupata maambukizi??
Asante kwa maelezo mkuuKuambukizwa vurusi vya ukimwi ni long process otherwise asingekuwepo binadamu hadi sasa tungejifuta wenyewe.
Hata mwenye ukimwi naweza lala naye na nisipate maambukizi.
Lazima ktk via vya uzazi kuwe na michubuko ambayo itasababisha blood contermination and pass of virus from one to another. Anal sex, maandalizi mabovu yanayosababisha kukosekana kwa ute mwingi hivyo kuleta michubuko.
Usafi ni mhimu sana ktk mapenzi kabla na baada ya mapenzi. Kujiepusha na kubadilishana mate wakati mdomo una michubuko na laini hivyo kusababisha maambukizi, upele au unakuta mwingine mwili una makovu unaweza kucheza hata draft hii ni hatari sana kwa ni rahisi kuchubuka.
Kuupata ukimwi si kazi nyepesi ukiwa wewe si mlevi. Tuwe makini wakati wa mapenzi.
100% ndioHabari za wakati huu waungwana.
Nina swali dogo nauliza, je ile damu ya hedhi inaweza kusababisha maambukizi ya virusi vya Ukimwi??
mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
Kondomu haizuii kupata ukimwi ndgu!Ni vigumu sana mwanaume mwenye ukimwi,kumuambukiza mwanamke iwapo huyo mwanaume kavaa condom,ni next to impossible.
Lakini pia sio vigumu kwa mwanamke mwenye ukimwi kumwambukiza mwanaume hata kama mwanaume kavaa condom,
Kabugi kweli kweli!very wrong
Sio rahisiKwahiyo sio rahis mkuu