Je, damu ya hedhi inaweza kusababisha maambukizi ya VVU?

Yaani niliimanisha kwangu mm mwanamke labda nikifanya sex na mwanaume Mara gafra nikajikuta nimebleed je huyo mwanaume kama ana maambukizi kupitia hiyo damu yangu naweza kupata maambukizi??
DAMU UTOE WEWE MAAMBUKIZI UPATE WEWE? SIO KWELI LABDA YEYE
 
@Proscaeur
mwanaume ndo anakuwa na risk.

Ngoja nikufafanulie,unapoivaa condom si inafunika mpaka kwenye shina la uume,
unapaanza sex hadi kumaliza manii yanabaki kwa tip,hakuna njia hayo manii yatafloat na kuja kwenye shina la uume na kutoka kucontact na uke,
utachomoa na kuvua condom hayo manii yatabaki kule kwenye tip ya condom,mpaka hapo hakuna contact ya uke na kichwa cha uume ambacho ndo kinakuwa rahisi kuchubuka kwa msuguano,
lakini wewe mwanaume uko katika risk kwani kama mwanamke ni mwathirika ule uvuaji tu wa condom ukikosea inakula kwako,sababu uke ndo unauvaa uume,kwahiyo vaginal fluid inakua in contact na kuta za nje za condom,so unashika condom kuivua,lazima vidole vitacontact na maji maji ya uke hasa kama ke ana maji mengi kuna maji maji hayo yatacontact na pubic area ya me,
sasa unapovua condom vidole vyako vitakuwa tainted na vaginal fluid,then utashika tena uume wako na pengine kichwa cha uume wakati unava condom ya pili,automatical vidole vyako ambavyo viko tainted na vaginal fluid vitacontact directly na uume wako na hivyo uume unakuwa tainted na vaginal fluid,
kama ke ni mwathirika na una michubuko uumeni ...........
Ahsante kwa ufafanuzi
 
mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
ndo maana ya kusema huu ugonjwa haueleweki,ama watu walifichwa ukweli kuhusu ukimwi,
unaweza sawa kutembea peku na mwenye HIV na usitoke na maambukizi,
maelezo yangu yanahusiana na possibility ya kupata hiv by physical contact,kwa maana kuwa mwanaume akivaa mpira uume wake hauwezi kuwa in physical contact na uke na kwa maana hiyo mwanamke yuko protected kuliko mwanaume.

Lakini tena katika ngono kuna mambo mengi hufanyika mfano deep kiss,fingering etc,
lakini kwanini maambukizi yako chini wakati watu wanafanya ngono sana,
binafsi sijawahi kuona mgonjwa wa ukimwi kwa maana ukimwi sio ugonjwa bali ni upungufu wa kinga mwilini
 
Ni vigumu sana mwanaume mwenye ukimwi,kumuambukiza mwanamke iwapo huyo mwanaume kavaa condom,ni next to impossible.

Lakini pia sio vigumu kwa mwanamke mwenye ukimwi kumwambukiza mwanaume hata kama mwanaume kavaa condom,
Dadavua mkuu
 
mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
Na aelewe pia kuna familia unakuta mmoja ni muathirika na mwingine ni mzima ilihali mnashirikiana tendo daily
 
@Proscaeur
mwanaume ndo anakuwa na risk.

Ngoja nikufafanulie,unapoivaa condom si inafunika mpaka kwenye shina la uume,
unapaanza sex hadi kumaliza manii yanabaki kwa tip,hakuna njia hayo manii yatafloat na kuja kwenye shina la uume na kutoka kucontact na uke,
utachomoa na kuvua condom hayo manii yatabaki kule kwenye tip ya condom,mpaka hapo hakuna contact ya uke na kichwa cha uume ambacho ndo kinakuwa rahisi kuchubuka kwa msuguano,
lakini wewe mwanaume uko katika risk kwani kama mwanamke ni mwathirika ule uvuaji tu wa condom ukikosea inakula kwako,sababu uke ndo unauvaa uume,kwahiyo vaginal fluid inakua in contact na kuta za nje za condom,so unashika condom kuivua,lazima vidole vitacontact na maji maji ya uke hasa kama ke ana maji mengi kuna maji maji hayo yatacontact na pubic area ya me,
sasa unapovua condom vidole vyako vitakuwa tainted na vaginal fluid,then utashika tena uume wako na pengine kichwa cha uume wakati unava condom ya pili,automatical vidole vyako ambavyo viko tainted na vaginal fluid vitacontact directly na uume wako na hivyo uume unakuwa tainted na vaginal fluid,
kama ke ni mwathirika na una michubuko uumeni ...........
kanuni ni: unapomaliza ku do, mwanamke anatakiwa akuvue mpira!
 
Yaani niliimanisha kwangu mm mwanamke labda nikifanya sex na mwanaume Mara gafra nikajikuta nimebleed je huyo mwanaume kama ana maambukizi kupitia hiyo damu yangu naweza kupata maambukizi??
Kuambukizwa vurusi vya ukimwi ni long process otherwise asingekuwepo binadamu hadi sasa tungejifuta wenyewe.
Hata mwenye ukimwi naweza lala naye na nisipate maambukizi.
Lazima ktk via vya uzazi kuwe na michubuko ambayo itasababisha blood contermination and pass of virus from one to another. Anal sex, maandalizi mabovu yanayosababisha kukosekana kwa ute mwingi hivyo kuleta michubuko.
Usafi ni mhimu sana ktk mapenzi kabla na baada ya mapenzi. Kujiepusha na kubadilishana mate wakati mdomo una michubuko na laini hivyo kusababisha maambukizi, upele au unakuta mwingine mwili una makovu unaweza kucheza hata draft hii ni hatari sana kwa ni rahisi kuchubuka.
Kuupata ukimwi si kazi nyepesi ukiwa wewe si mlevi. Tuwe makini wakati wa mapenzi.
 
Asante kwa maelezo mkuu
 
mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom

Hao ndio hata katika maisha ya kawaida tu ni macomplicator tu
 
Ni vigumu sana mwanaume mwenye ukimwi,kumuambukiza mwanamke iwapo huyo mwanaume kavaa condom,ni next to impossible.

Lakini pia sio vigumu kwa mwanamke mwenye ukimwi kumwambukiza mwanaume hata kama mwanaume kavaa condom,
Kondomu haizuii kupata ukimwi ndgu!
 
Back
Top Bottom