Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa

Taarifa kutoka Ikulu imesema “Mkoa wa Analamanga, ambapo Mji Mkuu unapatikana, unarudishwa kwenye ‘lockdown’. Hakuna atakayeruhusiwa kuingia au kutoka kwenye mkoa huo huku waliopo wakiwekewa muda wa kutoka nje

Taratibu za ‘lockdown’ hiyo zinasema mtu mmoja pekee kutoka katika kila Kaya ndio ataruhusiwa kutoka ndani kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa sita mchana huku sababu ikiendelea kusisitizwa ni kuongezeka kwa maambukizi

Itakumbukwa kuwa mwezi Aprili Rais Andry Rajoelina alizindua dawa ya iliyotokana na mitishamba ambapo alidai ina uwezo wa kukinga na kutibu maambukizi ya COVID19. Pia, aliidhinisha mmea (Artemisia) uliotumika kutengenezea dawa hiyo kuuzwa nje ya kisiwa hicho

Nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania zilienda Madagascar au kuagiza dawa hiyo inayotokana na #Artemisia ambao ni mmea unaoaminika katika kutengeneza dawa za kutibu Malaria

==

Madagascar has placed its capital Antananarivo under a fresh lockdown following a new spike in coronavirus infections, two months after the restrictions were eased, the presidency announced on Sunday.

In as statement, “The Analamanga region (under which the capital is situated) is returning to full lockdown,” the presidency said.

No traffic will be allowed in or out of the region starting Monday until July 20 and a strict curfew will be imposed on street movement by people.

“Only one person per household is allowed to go out into the street between 6:00 am (0400 GMT) and 12:00 pm (1000 GMT),” said the statement.

The measures have been taken “because of the spread of the epidemic and the increase of COVID-19 cases,” it added.

Madagascar was used to registering dozens of COVID-19 cases a day however, the country has recently seen an exponential rise in daily numbers, jumping to a record 216 cases on Saturday after a total of 675 people were tested.

Nearly 24,000 tests have so far been conducted in Madagascar.

Since the virus was first detected on the island on March 20, the country had a cumulative of 2,728 cases, including 29 deaths by Sunday.

Court hearings have been suspended and all government meetings will now be held via video conferencing.

In April, President Andry Rajoelina launched a local herbal concoction he claimed prevents and cures the novel coronavirus.

Rajoelina has been promoting the brew for export, saying it is the country’s “green gold” which will “change history”.

The potential benefits of Covid-Organics, a tonic derived from artemisia — a plant with proven efficacy in malaria treatment — and other indigenous herbs, have not been validated by any scientific study.

Source: Madagascar re-imposes lockdown amid surge in COVID-19 cases
 
"Nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania zilienda Madagascar au kuagiza dawa hiyo inayotokana na #Artemisia ambao ni mmea unaoaminika katika kutengeneza dawa za kutibu Malaria"

Hako kaphrase mbona hakapo kwenye hiyo habari ya kiingereza wewe umekatolea wapi?
 
"Nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania zilienda Madagascar au kuagiza dawa hiyo inayotokana na #Artemisia ambao ni mmea unaoaminika katika kutengeneza dawa za kutibu Malaria"

Hako kaphrase mbona hakapo kwenye hiyo habari ya kiingereza wewe umekatolea wapi?

Pole sana kwa bahati mbaya sijatafsiri taarifa. Nime-narrate taarifa
 
How the https://jamii.app/JFUserGuide do we keep survive this shit? While our neighbours crumble and a country that dared to oppose WHO is now back into quarantine.

How do we do it?
 
How the fvck do we keep survive this shit? While our neighbours crumble and a country that dared to oppose WHO is now back into quarantine.

How do we do it?
We don't really do it, we just block out the bad news.

We don't test, we don't track, we don't know who has what.

Plus the majority of our high risk population, those above 65, died already before Covid-19 hit us.

Our life expectancy is 65 years.

Life is so cheap in Tanzania. So expendable. There is no accountability.

Do we even know the difference in numbers of death typically for a January-June period of previous years compared to this year?

I doubt we could even get reliable figures on that.
 
Sisi tumeamua anarkufa afe anaepona apone naturally.

Sisi tumeamua kufanya ile wanaita survival of the fittest au herd immunity.

Sema thanks to nature Afrika madhara yamekua kidogo sana.

Ile dawa tuliambiwa inatibu imekuaje? Nyingine wakatengeneza nimri eti pilipili, sijui nyanya, kitunguu, karoti utafikiri kachumbari😂.

Sisi tumeamua wa anaomufa wafe basi.
 
"Nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania zilienda Madagascar au kuagiza dawa hiyo inayotokana na #Artemisia ambao ni mmea unaoaminika katika kutengeneza dawa za kutibu Malaria"

Hako kaphrase mbona hakapo kwenye hiyo habari ya kiingereza wewe umekatolea wapi?
Mimi ni moja wapiga vigelegele tuliosema wazungu wanaona wivu kukiri kuwa dawa imepatikana afrika. sasa ninaona aibu mwenyewe..
 
Hii habari ni nyeti. Inatakiwa kuwa na source. Weka chanzo (link) tafadhali.
 
Usipomuheshimu kwa cheo chake, muheshimu kwa unri wake mate.
No matter how cruel n worse he's to you
Kweli kabisa, ustaarabu ni kuwa na kubishana kwa hoja. Kejeli, dharau na matusi vinaweza poteza maana hata ya jambo zuri kama lipo.
 
Back
Top Bottom