mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kweli kabisa, ustaarabu ni kuwa na kubishana kwa hoja.Usipomuheshimu kwa cheo chake, muheshimu kwa unri wake mate.
No matter how cruel n worse he's to you
Kejeli, dharau na matusi vinaweza poteza maana hata ya jambo zuri kama lipo