Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

At the time when the COVID 19 news were on its prime even the streets supported the scenario. Ambulance sirens everywhere, videos and pictures of people laying on the streets circulated social media.

My neighbor's Pharmacy had the strict 1 metre rule and a no-mask-no-service rule. Shops had a sanitizer and a bucket of water.

All of those are gone now. Except for a level sit rule, which is only applied during the day. Kisuma bar is on point again just like MK, Peace and other lesser known night clubs.

It's like this disease just knew nobody give a damn no more and it has decided to fvck off. In Tz, why not in other coutries?
 
Acha kunifundisha unafiki
Sikufundishi. Nakukumbusha umuhimu wa kua na nidhamu na staha kwa wakubwa. Kama umeweza kumsema kabudi hivo basi ipo siku jirani yako pia utamsema hivo. Korongo lilianza kama mfereji mate.
 
Sikufundishi. Nakukumbusha umuhimu wa kua na nidhamu na staha kwa wakubwa
Kama umeweza kumsema kabudi hivo basi ipo siku jirani yako pia utamsema hivo. Korongo lilianza kama mfereji mate
Endelea kuwa mnafiki na kuheshimu wale wanaotuona sisi mazuzu.
 
Kinachoniuma mafuta ya ndogo yetu yalipotea bure
ndogo ❌
ndege βœ”οΈ

Sidhani kama yalipotea bure maana mzigo uliletwa ila bado upo kwenye majaribio...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Kinga kamili dhidi ya kirusi chochote ni chanjo tu. Hii dawa ya kutibu maleria haiwezi kufua dafu kwa Novel Coronavirus, huyu rais wa Madagascar alikuwa anafanya utapeli tu.

Na huyu rais wetu kwa kujiona mungumtu akaamua kufuja fedha zetu kwa mambo ya kipuuzi kabisa. Very hopeless.
 
At least wako wanajaribu kila kitu badala ya kusubiri waletewe na mzungu
 
Mji Mkuu wa #Madagascar, Antananarivo umefungwa (lockdown) kutokana na kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya virusi vya corona. Mtu mmoja katika familia ataruhusiwa kutoka nje kati ya saa 12 asubuhi hadi saa 6 mchana. Nchi hiyo imerekodi visa 2,941 hadi sasa na waliopona ni 1,014.

swahilitimes

Sasa Mzukulu naamini kuwa inawezekana Waafrika siyo Wapumbavu tena ni Werevu sana tu ila nimegundua ya kwamba huenda Waafrika Wenzetu kwa Upumbavu Wao ndiyo wanatuponza hadi na Sisi wengine wote. Nilikuwa naona Rais wa Marekani Trump alitukosea Heshima Kututukana Waafrika ila kwa jinsi Waafrika wenyewe tulivyo naungana nae Rais Trump tena kwa 100% zote.
 
Madagascar Walitaka kuharibu biashara za watu.naona wasahapewa mlungula tayari.
 
Madagascar iliutangazia ulimwengu kuwa na dawa ya corona iliyoitwa Covid Organics na kupelekea mataifa mbalimbali kuvutiwa na hata kununua dawa hiyo. Kwa takwimu za sasa hali ya corona inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Visa vya corona vimefika 2,971 kukiwa na vifo 32. Tanzania tukiwa moja ya nchi za mwanzo kabisa kununua dawa hii pale ndege ya rais ilipotumwa kwenda Antananarivo, je mrejesho wa dawa hii iliyosemekana ilikuwa kwenye majaribio upo wapi. Ikumbukwe ni miezi zaidi ya miwili sasa tangu dawa ichukuliwe kwa mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…