Je dawa zinaweza kubadili MP

wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
137
Reaction score
210
Wakuu, naomba kuuliza dawa za UTI zinaweza kubadili MP, maana huyu mke wangu aliugua UTI akatumia dawa mwezi wa nane tarehe 10, akatumia amoxyclav, sasa alitakiwa aingie MP tarehe 24/08/2019 na dalili zote alizipata ikiwemo maumivu ya nyonga... Ila hakubleed mpaka leo hii tarehe 03/09

Je shida inaweza kuwa nn
 
Sumu hiyo baba, ambayo wewe unaiita dawa. Lazima mzunguko ubadilike, kojolea nje mkuu
 

Inawezekana

Cc Kingsmann
 
Sio mimba?
 
Madaktari wanakuja soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…