wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Wakuu, naomba kuuliza dawa za UTI zinaweza kubadili MP, maana huyu mke wangu aliugua UTI akatumia dawa mwezi wa nane tarehe 10, akatumia amoxyclav, sasa alitakiwa aingie MP tarehe 24/08/2019 na dalili zote alizipata ikiwemo maumivu ya nyonga... Ila hakubleed mpaka leo hii tarehe 03/09
Je shida inaweza kuwa nn
Je shida inaweza kuwa nn