Je DAWASCO na NHIF wameshaita/ajili/shortlist?

Jaxx

Senior Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
129
Reaction score
28
Wadau naomba updates za Dawasco na NHIF kama wameshaitwa for interview au kuajiliwa tayari?
Naomba kuwasirisha!!!!
 
DAWASCO waliniita last week nikagonga written mbili,nasikia kuna oral ndo naisubiri,sasa mkuu sijui we uliomba nafasi zipi kwani kwa uelewa wangu mdogo jamaa wanaita kutegemea na nafasi uliyoomba.Sikukatishi tamaa lakini kuna nyomi la kufa mtu kwa hiyo jipange kwa hilo mkuu.
 
Usikate tamaa mkuu muda ukifika utapata sehemu nzuri zaidi ya hapo dawasco na lingine kukusaiidia kuwa msiri sisemi mbaya kusema ama kuuliza kuna watu wengi wameapply sehemu kama hiyo nikupe mfano kwenye baibo yussuf alioteshwa kuwa waziri mkuu alichochemsha ni kuita familia ikiwemo wazazi na kuwaambia atawaongoza we kuna ndugu wadamu waliofikiria kumchinja wengine wakaoamba atupwe baharini akaokotwe so pamoja na kuja kuwa wazir mkuu pengine angekaa kimya asingetupwa ..kujua kutunza siri ni nzuri sana shetan anasikilizia sehemu kama hhizi na pengine umeomba sana mungu anataka kufungua milango wakiona hili ukumbuke kuna malango soma ayubu 38:11 utafika lakini autapita hapa....
Sio anatania ni kweli kuna nguvu wakiziamulia utaishia kutuma cv na mbaya kuna wengi wanatumia majina ya cv yako ulizotumia nahii ni siri ya kutotunza siri..mungu akusaidie uwe mmojawapo wa washindi na sio wasindikizaji..atuitaji kuhuduhuria interview tunaitaji kupata kazi hiyo ni neema ya mungu
 
Walikuita kwa Nafasi zipi Maana zilikuwa Nyingi?
 
Mimi nlikuwa miongoni mwa wale waliofanya intavyuu written 2 na oral 1 zaid ya wk mbili sasa kwa upande wa BO cjui ndo bac tena au kama kun anayejua kinachoendelea atujuze wadau
 
Usikate tamaa mkuu muda ukifika utapata sehemu nzuri zaidi ya hapo dawasco na lingine kukusaiidia kuwa msiri sisemi mbaya kusema ama kuuliza kuna watu wengi wameapply sehemu kama hiyo nikupe mfano kwenye baibo yussuf alioteshwa kuwa waziri mkuu alichochemsha ni kuita familia ikiwemo wazazi na kuwaambia atawaongoza we kuna ndugu wadamu waliofikiria kumchinja wengine wakaoamba atupwe baharini akaokotwe so pamoja na kuja kuwa wazir mkuu pengine angekaa kimya asingetupwa ..kujua kutunza siri ni nzuri sana shetan anasikilizia sehemu kama hhizi na pengine umeomba sana mungu anataka kufungua milango wakiona hili ukumbuke kuna malango soma ayubu 38:11 utafika lakini autapita hapa.... Sio anatania ni kweli kuna nguvu wakiziamulia utaishia kutuma cv na mbaya kuna wengi wanatumia majina ya cv yako ulizotumia nahii ni siri ya kutotunza siri..mungu akusaidie uwe mmojawapo wa washindi na sio wasindikizaji..atuitaji kuhuduhuria interview tunaitaji kupata kazi hiyo ni neema ya mungu
Ni kweli kabisa,binadamu wengi huwa tunakasumba ya kuweka mambo yetu wazi sana hata kwa watu ambao hatuwajui kinachokwenda kwenye mawazo yao,ni muhimu tujifunze kuweka mambo fulani Mioyoni mwetu tu for our own good!! Some of us can not resist the temptation to show off,just to show others we are doing fine!! Ths doesnt mean tuishi kwa siri kupindukia lakini we shud be vigillant and choosy about who we confide to!!!!
 
Does this relate with my Post/title? OR its your feelings but u had no where to express it??!!, If yes why don't you propose your ownPost/ title???. Ahsante na kama cjakuelewa nisaidie zaidi.
 
Usikate tamaa mkuu muda ukifika utapata sehemu nzuri zaidi ya hapo dawasco na lingine kukusaiidia kuwa msiri sisemi mbaya kusema ama kuuliza kuna watu wengi wameapply sehemu kama hiyo nikupe mfano kwenye baibo yussuf alioteshwa kuwa waziri mkuu alichochemsha ni kuita familia ikiwemo wazazi na kuwaambia atawaongoza we kuna ndugu wadamu waliofikiria kumchinja wengine wakaoamba atupwe baharini akaokotwe so pamoja na kuja kuwa wazir mkuu pengine angekaa kimya asingetupwa ..kujua kutunza siri ni nzuri sana shetan anasikilizia sehemu kama hhizi na pengine umeomba sana mungu anataka kufungua milango wakiona hili ukumbuke kuna malango soma ayubu 38:11 utafika lakini autapita hapa....
Sio anatania ni kweli kuna nguvu wakiziamulia utaishia kutuma cv na mbaya kuna wengi wanatumia majina ya cv yako ulizotumia nahii ni siri ya kutotunza siri..mungu akusaidie uwe mmojawapo wa washindi na sio wasindikizaji..atuitaji kuhuduhuria interview tunaitaji kupata kazi hiyo ni neema ya mungu
Does this relate with my Post/title? OR its your feelings but u had no where to express it??!!, If yes why don't you propose your ownPost/ title???. Ahsante na kama cjakuelewa nisaidie zaidi
 
@ Jaxx,punguza hasira ndugu yangu me kiukweli nimekuelewa unamaanisha nn bt sometime tambua twatofautiana kuelewa wadau wanakupa moyo kwa kuwa wanauwezekano wananajua wa2 washaitwa sasa elewa kuwa sio kila m2 atakuambia direct ndugu yangu!
 
Ni kweli Mdau.Kwa mfano mimi najua kuwa NHIF walishaajiri na watu wameanza kazi sometime in June.Nasikia watu walikuwa wengi zaidi ya 2000 ila post zote jumla zilikuwa around 30!!
 
Cyo kweli maana nimefanya interview ya Compliance officer tarehe 28/06/2011, niliitwa soon baada ya kuanzisha hii thread
 
Basi hukuwa specific maana nina rafiki yangu ambaye alifanya hiyo interview ninayokuambia maana nakumbuka hizo zilitangazwa May.Possibly zilitangazwa nyingine.Sorry kama nilikukwaza Jaxx sikuwa na maana ya kukukatisha tamaa.All the best
 
Back
Top Bottom