Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Kuna ile dhana ya kiuongozi ambapo mtu anajitoa au ana declare interest kwenye jambo linalomhusu ili kusiwe na upendeleo nitatoa mifano ifuatayo.
1. MAHAKAMA
Majaji huwa wanajitoa kwenye kesi aidha zinazowahusu au ambazo wao ni washtakiwa.
2. NECTA
Baraza la mitihani huwa haliruhusu mwalimu kusahihisha au kusimamia shule anayofundisha au ambayo aliisimamia mitihani ndani ya miaka minne.
Swali.
Kwanini serikali ya CCM inasimamia chaguzi wakati na yenyewe ni mshindani? Je hii ni sawa?
Soma Pia: Kitendo cha Mahakama kwenda kutoa hukumu ya TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kuzidi kubariki uovu wa CCM