Je Diamond akifa Leo hii Kiba atabaki kwenye ubora au atapotea kama Ray kigosi

Je Diamond akifa Leo hii Kiba atabaki kwenye ubora au atapotea kama Ray kigosi

Tuachane na mambo ya kifo simple tu tuangalie kama Mondi asingekuwepo je kiba angeweza kuamka tena baada ya gemu kumuia gumu na kuamua kusepa?
 
Nini kufa Mond akipumzika music miaka 3 na bila ya scandal Kwisha habari yake...wakati Kiba alikuwepo na ataendelea kuwepo kama Bichuka
 
Ndugu zangu wana JF mie sie mpenzi sana wa hili jukwaa ila kwa siku ya Leo imenibidi niingie hivyo hivyo

Miaka 7 nyuma Tanzania ilipiga hatua kubwa sana kwenye tasnia ya filamu na tasnia hii ilibebwa sana na nguli Kanumba na hakika Kanumba alikuwa kwenye peak na kufikia hatua kucheza filamu na magwiji wa nollywood .

Kanumba alichochea sanaa "bongo movie" kupendwa sana hapa nchini na kama ilivyokuwa kawaida kuna watu walitembelea nyota ya Kanumba na pasi ya kupepesa macho Ray kigosi alitembelea nyota ya marehemu Kanumba na ikatengenezwa beef kama la Mond na kiba na bifu lile lilileta ushindani na kumbeba Ray

Lakini tokea Kanumba afariki bongo movie nayo imekufa na Ray pia amekufa kisanaa ,Ray hasikiki kabisa ,nani anafuatilia kazi za Ray saizi ????


Pasi na shaka Ray alikuwa anatembelea nyota ya Kanumba.


tuje kwenye muziki kuna hawa wasanii 2 maarufu Diamond na Kiba na wasanii hawa wana mashabiki wengi mpaka kupelekea mgawanyiko wa timu kuna wanaojiita timu kiba na wengine timu diamond na kiukweli ushindani huu umechochea maendeleo kwa wasanii hawa haswa Ally Kiba .

Na Beef ya Diamond na Kiba naifananisha na ile ya Kanumba na Ray japo Ray alikuwa anabebwa kupitia beef ile ,tuweni wakweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu in JPM voice ,Ally kiba ame-step up baada ya Diamond kufanya vizuri na beef lao limembeba sana

What If Leo hii Diamond kafa kama ilivyokuwa Kanumba je Kiba atabaki kwenye ubora huu au atapotea naye kama Ray kigosi ?

Je Kiba anatembelea nyota ya Diamond ?
Diamond akiondoka Kiba atabak kileleni?
hivi simba ikifa au yanga ikifika unazani kati ya hawa nani hata potea
 
Hata angekuwa ray ndo katangulia sizani kama kanumba angeendelea kuwa kwny peek ile ile.....so kusema ray alikuwa anatembelea nyota ya kanumba ni kama unajitekenya na kuamua kucheka mwenyewe......kanumba na ray wote walikuwa wanategemeana ndo maana hata ikitokea wameshiriki kwny movie moja hakuna aliyekuwa anamfunika mwenzie, so napinga kusema et ray alikuwa anatembelea nyota ya kanumba halafu jambo jingne mjue kila kitu na wakati wake asa iv mziki afrika ndo unasumbua zaidi kuliko movie.....hata nigeria soko lao la movie limeshuka siyo kama zaman sasa sijui mtasingizia nani kafa kule.....hata kama kanumba angekuwepo leo mda wa bongo movie kufifia ulikuwa ushawadia...
 
Tukawaulize wazazi WAP waliwazaa itakuwa vema zaidi mana WAo wanajua uwezo wa watoto WAo kiakili
 
Enzi zile kiba anatoka na Cinderella ulikuwa unamjua dai?!
 
Akili zingine daaahhh????!!!!??!!
Kwa nn husiseme "je D akiacha kujishughulisha na muziki leo"
 
Back
Top Bottom