Je, Diamond anatumia uchawi ?

Je, Diamond anatumia uchawi ?

Joined
Apr 22, 2016
Posts
37
Reaction score
4
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.

Je unakubaliana na suala hili?

"Ndiyo" au "Hapana"
 
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.

Je unakubaliana na suala hili?

"Ndiyo" au "Hapana"
Wewe utakuwa ni Mkenya lazima maana Mtz hawezi anzisha uzi wa namna hiyo,maana nyuz za hivo huku tz zipo nyingi mno sioni kipya kwenye uzi wako
 
Thread ya kijinga iliyoanzishwa na mjinga kwa staili ya kijinga.

Rudi shule ukajiendeleze kielimu, vingnevyo hapo baadaye kazi yako itakuwa kuokota makopo
 
Wazigua ninao wapwa zangu lakini Akili hii mbovu tumewasaidia kwenda shule hawajaipata
 
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.

Je unakubaliana na suala hili?

"Ndiyo" au "Hapana"
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.

Je unakubaliana na suala hili?

"Ndiyo" au "Hapana"
MPUUZI WEWE. NENDA NA WEWE KACHUKUE UCHAWI UWE KAMA JAY Z KAMA UCHAWI BILA BIDII NA KUJITUMA NDO UNAAMINI. BADALA YA KUCHAPA KAZI, UCHAWI! UCHAWI, HOPELESS...
 
Back
Top Bottom