Je, Diamond anatumia uchawi ?

Je, Diamond anatumia uchawi ?

Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.

Je unakubaliana na suala hili?

"Ndiyo" au "Hapana"
Kwa jinsi ulivoandika Kichwa cha mada na yaliyomo ndani inaonesha umeandika kwa kutumia uchawi!
 
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.

Je unakubaliana na suala hili?

"Ndiyo" au "Hapana"
Wewe umeingia jana tu unaanza na tuhuma za umbea watu gani wanasema? Na kisha una tupigisha kura maprofesa wenye vipara? kha!.
 
Sawa lakini nahitaji maoni
Yanini kisha uyapeleke wapi? anyway kwa msaada tu fika ofisini kwake pale sinza uliza swali hilo kwa mtu anaitwa Mwarabu au (commando kipensi) yule ni muungwana sana na bila shaka atakupa majibu unayo stahili,utuletee na sisi tuna kiu ya kujua matokeo.
 
Si ange kwenda Handeni kuchungulia kwenye laptop za wazee akajiridhisha.
kajamaa kajinga sana haka!......kaniudhi kweli badala atafute njia na yeye afanikiwe anaanza kuuliza upuuzi hapa kama vipi na yeye aende kwa mganga!..
 
Yanini kisha uyapeleke wapi? anyway kwa msaada tu fika ofisini kwake pale sinza uliza swali hilo kwa mtu anaitwa Mwarabu au (commando kipensi) yule ni muungwana sana na bila shaka atakupa majibu unayo stahili,utuletee na sisi tuna kiu ya kujua matokeo.

Umesahau kitu kimoja, ikiwezekana aende na mafuta
 
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.

Je unakubaliana na suala hili?

"Ndiyo" au "Hapana"
Hii mada yako inaboaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,siku ingine usirudie tena kuleta uzi wa kijinga kama huu,tafuta uzi wa maana ndio ulete,huna kuwa mchangiaji tu,umenielewa lakini? enheeee asante kwa kunielewa,byee
 
Back
Top Bottom