Voice Of Zigua
Member
- Apr 22, 2016
- 37
- 4
HapanaWatu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.
Je unakubaliana na suala hili?
"Ndiyo" au "Hapana"
Wewe utakuwa ni Mkenya lazima maana Mtz hawezi anzisha uzi wa namna hiyo,maana nyuz za hivo huku tz zipo nyingi mno sioni kipya kwenye uzi wakoWatu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.
Je unakubaliana na suala hili?
"Ndiyo" au "Hapana"
Mkuu, hivi vile vitunguu Vilikubali?Headline 'anatumia uchawi'
halafu ndani unasema 'inasemekana'
bull krapppp#Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.
Je unakubaliana na suala hili?
"Ndiyo" au "Hapana"
Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.
Je unakubaliana na suala hili?
"Ndiyo" au "Hapana"
MPUUZI WEWE. NENDA NA WEWE KACHUKUE UCHAWI UWE KAMA JAY Z KAMA UCHAWI BILA BIDII NA KUJITUMA NDO UNAAMINI. BADALA YA KUCHAPA KAZI, UCHAWI! UCHAWI, HOPELESS...Watu wanasema eti msanii wa Tanzania "Diamond" anatumia uchawi ndiyo mana mziki wake unakubalika sana barani Africa na nchi za nje.
Je unakubaliana na suala hili?
"Ndiyo" au "Hapana"