Je, Diamond kathibitisha Ommy ni bwabwa?

Je, Diamond kathibitisha Ommy ni bwabwa?

Status
Not open for further replies.
ila domo pia niliskiaga alishapumuliwa na tezi dume ila ni mastori tu ya kuchafuana kama yeye anavyomchafua dimpo!sio mshabiki wa hao wote ila sioni ulazima wa ommy kutuonyesha shemeji sababu halazimishwi na sio lazima!kuhusu upunga nahisi ni ngumu kumjua mtu wa hivyo!wengine wana wake na watoto na michepuko lakini wanaukalia ukuni na kuna wengine mabaunsa kabisa yaani shoga mbabe!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Alipumliwa na tezi dume??
 
Ndo maana nliamua kuhamia kuwafuatilia zaidi wana HIP-HOP wanaoambiwa wala ngada kuliko hawa malimbukeni wa umaarufu mpaka wameingia kwenye Ukaoge na Ujames delicious
 
WATANZANIA MNASIKITISHA SANA... NA KAMA HII NDIO SANAA, BASI HAKUNA MAANA... the end is near
 
Diamond anasema yeye muislam safi alafu anazini na kuzaa nje ya ndoa huo ndio usafi wa uislam?!

Wote wawili wanatuzingua.
sharia ya.kislamu inasemaje na wwe unatafsiri vp mkuu?
 
Hii bongo inanuka ushoga tuu yani kila mahali naskia ushoga. Kweli dunia imeisha.
Halafu wanaowasema wenzao ni mashoga na ni mashoga wakutupwa wanazuga tuu.

Im out.
 
Daaah, hii Michezo ya Kishaitwan inakuja kwa kasi sana Mjini!

Ina maana Domo na Kiba bifu Lao ni kugombea Tako la Dimpoz? Kweli Bongo fleva ni moja ya tamthilia za kuvutia!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom