Je, Diamond kathibitisha Ommy ni bwabwa?

Status
Not open for further replies.
Mungu saidia sana siku izi kuna izi blog tunapata udaku wote bila kulipia Aya magazeti ya Udaku,
La sivyo Erick Shigongo angerudisha pesa yake yote aliyokuwa ana wadai ccm. Maana angetoa magazeti ya udaku ya kutosha.
 
Hin
Hpana ila kwa utafiti wangu najua waarabu na wa hiyo dini wanapenda sana tiGO.
Hongera mtafiti, na pole pia. Hizi tafiti nyingine hatari sana unajua. Hazina funds wala bima.
 
Tunaelekea kubaya muziki umekua sio wa ushindan ni wakukomeshana ndo maan mond kakosa tuzo juzi hapa atapotea
 

Anajitoa ufahamu tu huyo, achana nae.
 

Mkuu ,achana nae huyo hana anchokijua,isipokuwa anaandika kimapokeo tu,kwa kuwa amekua anakuta stori zipo hivyo na yeye anaamini na kujiongopea eti kafanya utafiti,hakuna cha utafiti wala nini,na watu waongo siku zote ndo stori zao yanapokuja hayo maongezi utawasikia wanahusisha mara Zanzibar, Mombasa au Uislamu,wakati kuna viongozi wa dini moja mpaka umoja wa mataifa umewakalia kikao na kuwaonya waache kudhalilisha watoto na waumini wao kwa kuwalawiti lakini huko hawasemi wala hawayajui wamekaa kimya kuhusu hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…