Je, Diamond kuna kipi unakikumbuka kwa Wema ambacho huwezi kukisahau??

Je, Diamond kuna kipi unakikumbuka kwa Wema ambacho huwezi kukisahau??

Dah huwa namkubali kiba kinoma lakini hapa mondi nimemuelewa kanikumbusha mondi wa miaka ya 2009
 
aise...huyu dogo ni special case kwenye huu mziki wa bongoflavor...kaachia ngoma mbili zote hot,tena hizi ni zile za kusindikiza official release ya dec. 1...nyengine inaitwa Niache japo sina uhakika na title
 
Mbona alipomwimba Penny Hamkuuliza hivyo, msitake kukuza mambo hivyo. Napo kashindwa kumove on pia, mambo mengi mengine hebu tuache ujuaji.


Wanazungumziwa na wengine ila umemwona huyo tu,
 
Back
Top Bottom