Je Diamond Platnumz ana management mpya?

Du yaelekea Lemutuz ni anajua kula bata tu ila kwa budget ya nguo mmmh very disorganized make sio kwa matambala yale!!!
Huu mwendokasi wa kuzuia mitumba utamuathiri sana le gaddem akili kubwaz!
Hahahshaha umenichekesha
 
Nimeyapenda tu hayo mavazi

Vazi la Diamond unatakiwa ujitoe Akili ili uvae maana kama ni Ustaa sijawahi kuona wakina Jay Z, 50 cent wamevaa hayo matambala.

Shati la Lemutuz lina uwezo wa kufunika Vitz mbili.

BABU NA MJUKUU...
Mbona kanye west anavaa
 
Mwe! Ina maana Diamond ameishiwa kiasi cha kukosa hela ya kununua nguo hadi anavaa nguo zakuchanika namna hiyo?!!!!😕
 
asante kwa kunifahamisha ilo la kuwa mtoto wa fulani nilishawahi kulisikia ila nilikuwa nataka nijue anattrend sana mitandaoni kwa lipi kumbe hiyo brog uchwara

- Kweli mkuu hii ndio ofisi ya Blog yangu uchwara I hope na wewe una ofisi kama hii hapa Posta Mpya na una Kampuni kubwa sana hahahahahahahahah

le Mutuz
 
Huyu mzee pembeni ya Diamond ni nani? Ndo manager wa Diamond? Hivi karibuni nimekuwa nikimuonaona akiwa karibu na Diamond, hata kwenye picha za nyumbani kwa Diamond Madale huyu mzee amekuwa akionekana. Ni nani yake?

View attachment 364923

- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!

le Mutuz
 
Si vibaya kuongozana na watu maarufu ili kuambukizwa umaarufu!
 
Ndo ninacho kupendea ni mwendo wa fact tu.. ETI UNAOA Lini huyo le super mtindizzzzzzzzzzzzzz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…