idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
Du yaelekea Lemutuz ni anajua kula bata tu ila kwa budget ya nguo mmmh very disorganized make sio kwa matambala yale!!!
Huu mwendokasi wa kuzuia mitumba utamuathiri sana le gaddem akili kubwaz!
Kwa umri wa le Mtuzi sio wa kufikiria kuvaa, kasikilize kibao cha le Mr 2 hold on......unamuuliza jamaa yake mpaka leo wewe unawaza kuvaa? Na utapendeza vipi bila pesa.?
